RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

Hii hapa .
Vile vile nae anasema alikufa lakini madaktari hawataki kumaambia[emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Chalamila Dish limeyumba.
 
Huyu jamaa full comedian lakini anaongea ukweli
 
Chalamila, you are a fool, read the constitution. The President remains President until another is sworn IN. He even still made appointments. I highly respected JPM, but some of his decisions like appointing some morons/imbeciles like this one, I didn’t agree with him hapo. We have RCs, RAS etc, what do they do. Chalamila can you tell me your description? What are you actually supposed to do on a daily basis?
 
Angefaa kuongoza vikundi vya ngoma za kienyeji za majoka.
 
Hawa ndo Viongozi ambao uchu wa madaraka kwao ni mkubwa kuliko uchu wa maendeleo..!

Anawaza kushinda tu
 
Hatari sn
 
Jaman mpelekeni huyu wodi ya VICHAA..shauri zenu
 
Na anasema aliposikia Magu kafariki alijua yeye ndie kafariki Ila hawataki kukwambia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…