RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

Charles mbowe yuko wapi?
Bei ya vitu vipi?
Shangazi yako machinga vipi?
Vipi nyumba yako iliyo vichakani inahitaji nguzo 3 ndiyo umeme ufipi utalipia shs ngapi?
Non sense grade one
 
Hivi ukishangilia kifo cha ibilisi ni kosa kweli,yule alikuwa ibilisi,shetwani
Mwendazake ana maovu yasiyosameheka;
1. Hela za tetemeko
2. Lissu
3. Kwenye ajali ya watoto wa Lucky Vicent aliyekua RC gambo aliwasweka ndani watu waliokuwa wakienda kutoa rambirambi.
4.......
5...
.
.
99999999999999
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…