Naona anacheza tu na maneno na sio kauli yake ya kihuni.Akizungumza na wanahabari siku ya leo, Chalamila amesema kuwa kauli yake dhidi ya wamama wajawazito waliokosa hela imetumika vibaya ukizingatia kwamba sasa tuko kipindi cha Uchaguzi,
Chalamila amesema kwamba kuna haja ya watu kuangalia clip nzima ya video hiyo kwani kuna upotoshaji mkubwa unaendelea kutokana na sehemu ndogo tu ya clip hiyo kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Soma pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Hilo jamaa ni lipumbavu aisee.Je alikuambia kwamba alishindwa kulipa kwa sababu alikuwa kwenye ngoma za vigodoro?
Uliekuwa unamtetea baada ya kugundua kachemka anajaribu kujisafisha,wewe bado unapayuka tu.Sasa kwanini upate pesa ya kuchezesha Ngoma ukose pesa ya kuchangia huduma ya kujifungua
Hii tabia ya ropo ropo nchi za watu inaweza kugharimu kibarua cha mtu ila hapa kwetu ni kama kitu cha kawaida. Hata humu unakuta kuna habari sensitive anatoka mtu huko anakuja kuharisha uongo.
- Kama huna nauli kwenda Kigamboni piga mbizi
- Watanzania watakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe
- Kila mtu atauchukua mzigo wake
- Kama huna hela ya kuchangia huduma ya uzazi nenda kwa mumeo akuchane na mikasi
7. Peleka mavi yako nyumbani (by jiwe)6. Serikali haijaleta tetemeko utajenga mwenyewe.
7. Kifo ni kifo tu6. Serikali haijaleta tetemeko utajenga mwenyewe.
Jitu limekuwa katili kiasi hichi na lipo madarakani Oh my God.Hilo jamaa ni lipumbavu aisee.
Hatari sana mkuu.Jitu limekuwa katili kiasi hichi na lipo madarakani Oh my God.
Hivi Sera yenu na Ilani ya Uchaguzi inasemaje kuhusu huduma za kujifungua kwa mama wajawazito?Chalamila yupo sahihi,hatuwezi kubembelezana kweny Mambo kama hayo.
Mimba sio dharula,yaan miezi tisa yote unashindwa kuweka akiba hata ya 50k na wakati unajua badae gharama zitaitajika? Vichwa vya dar es salaam sio vya kubembelezana
Matibabu ya WazeeWanaposema huduma Bure...ni huduma zipi hizo ni Bure?
Dharau kwa walipa kodiHakuna kujitetea bwana, wewe ni bwaku bwaku tu unajulikana.
Umevimbiwa na madaraka.
Hata ukiongea kizungu wewe umezingua Bw. Chalamila.