RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
View attachment 3214871
Chalamila ni brainless, hivi hiyo nafasi aliipata kwa criteria zipi?
Anauhakika kuwa kila mama anayefika hospitalini huwa amemaliza hela zake kwenye vigodoro? Anatumia facts zipi labda aziainishe kwa mifano halisi at least ya wakina mama kumu waliofika kujifungua huku fedha zao wakiwa wamezimaliza kwenye vigodoro.
-Wanaoenda kwa waganga wa jadi huwa mgonjwa wao akifariki wanamdai mganga fedha zao walizotumia hapo na huwa anazilipa, nadhani watu kudai maiti ya ndugu yao bila kuidai hospitali ni favor kwa hospitali na si upuuzi wa kudai wakati mgonjwa wameshindwa kumtibu hata hao ndugu wakiamua kuususa mwili at the end of the day wataufukia tu popote hivyo inakuwa wameingia added costs for the lack of common sense.
Ni mipumbavu mwehu mwenye upeo mdogo sana, anadhani sensible people can't read through his cheap and useless blah blahs.
 
RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
View attachment 3214871
Kauli za Chalamila hazina hekima na wenhgi wametumbuliwa kwa kukosa uvumilivu wa kusikiliza malalamiko ya wananchi.

-Waziri Mkuu wa zamani Msuya aliwahi kusema-kila mtu atabeba msalaba wake, wananchi walishambulia sana kwa msemo huo

-Waziri wa Afya Leader Sterling aliwahi kusema -kipindupindu aliwahi kusema, kipundupindu kina toka ana mtu kula kinyesi chake mwenye, waswahili walikuja juu sana, ati nani anakula kinyesi chake.

-Waziri Mramba aliwahi kusema-Wartanzania mtakula nyasi, piga ua, lakini ndege ya Rais itanunuliwa. Mrsmbs sksjs juliksns ksms wsszir wa wala nyasi.

-Waziriwa Uchukuzi wakati huo Samwel Malecela aliwahi kusema=You csn go to hell, alipoulizwa juu ya ulanguzi wa ticket za teni TRC , pale stesheni Dar.

Hizi zinaitwe gaffe , msimemo inayo waudhi wananchi.

Chalamila hata kuwa wa kwanza kutoa kauli zinazi kera, ila ajitayarishe kwa feedback
 
Hapo kafafanua nini zaidi ya kuongeza alivyosahau kuongea awali?
 
Hivi Hapa Kafafanua au Kazidi Kukandamiza Msumali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Tena kaongeza na Tusi Non sense "Upumbavu"[emoji1787][emoji1787]

Mpaka anasema Watu hao watakaokuwa wanagoma Tuwape Adhabu [emoji3][emoji2][emoji28][emoji28]
Asubiri mama amalize mkutano.
Ikifika tarehe 1 feb hajapigwa chini ashukuru Mungu.
Bora angemjibu mbaba kuliko Mmama tena mjamzito
 
Nilishasema Chadomo wanakiwanda cha kufyatua uzushi, kama waliweza kumzushia mwenyekiti wao wa 21 kwa namna ile hakuna mtu aliye salama na ushushi wao.
1000346314.jpg


Kweli kabisa mkuu unaona hata Ilani ya hao Chadomo imesema hapo
 
Chalamila yupo sahihi,hatuwezi kubembelezana kweny Mambo kama hayo.
Mimba sio dharula,yaan miezi tisa yote unashindwa kuweka akiba hata ya 50k na wakati unajua badae gharama zitaitajika? Vichwa vya dar es salaam sio vya kubembelezana
1000346314.jpg
 
  1. Kama huna nauli kwenda Kigamboni piga mbizi
  2. Watanzania watakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe
  3. Kila mtu atauchukua mzigo wake
  4. Kama huna hela ya kuchangia huduma ya uzazi nenda kwa mumeo akuchane na mikasi
Sikuelewi umewezaje kusahau kitu cha kuhamia Burundi
 
  1. Kama huna nauli kwenda Kigamboni piga mbizi
  2. Watanzania watakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe
  3. Kila mtu atauchukua mzigo wake
  4. Kama huna hela ya kuchangia huduma ya uzazi nenda kwa mumeo akuchane na mikasi
kuna chuma kilisema ",......mubaki na mavi yenu"
 
Back
Top Bottom