M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Chalamila ni brainless, hivi hiyo nafasi aliipata kwa criteria zipi?RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"
Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
View attachment 3214871
Anauhakika kuwa kila mama anayefika hospitalini huwa amemaliza hela zake kwenye vigodoro? Anatumia facts zipi labda aziainishe kwa mifano halisi at least ya wakina mama kumu waliofika kujifungua huku fedha zao wakiwa wamezimaliza kwenye vigodoro.
-Wanaoenda kwa waganga wa jadi huwa mgonjwa wao akifariki wanamdai mganga fedha zao walizotumia hapo na huwa anazilipa, nadhani watu kudai maiti ya ndugu yao bila kuidai hospitali ni favor kwa hospitali na si upuuzi wa kudai wakati mgonjwa wameshindwa kumtibu hata hao ndugu wakiamua kuususa mwili at the end of the day wataufukia tu popote hivyo inakuwa wameingia added costs for the lack of common sense.
Ni mipumbavu mwehu mwenye upeo mdogo sana, anadhani sensible people can't read through his cheap and useless blah blahs.