johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!