RC Chalamila ahoji kama Bandari imeuzwa mbona soko la Ferry bado lipo. Asema waliopotosha wote wako ndani na wataendelea kukamatwa wakiibuka wengine

Huyu alikuwa amelewa huyu sa soko na bandari wapi na wapi mbona hasemi ikulu? [emoji848]
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Source: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Kumbe ndiyo maana huwa wanajisainia tu.
 
Basi2 upotoshaji iv kweli rais anao uwezo wa kuuza bandari kweli. Aisee
Hapo umeona kuna point? Ni nini unachopata kwenye gesi ya Mtwara na serikali yako ilifikia hatua ya kuua Wananchi ili Mwekezaji achukue gesi mliyotuaminisha otasambazwa Kila nyumba ya Mtanzania Kwa bei nafuu? Mliwasingizia watu wa Mtwara ni wabinafsi wanatakà wafaidi gesi Peke yao wakati Maliasili ni suala la kitaifa, Leo kiko wapi? Kwako umeunganishiwa bomba la gesi? Unapoambiwa mkataba Una kasoro hautatufaidisha kitu hivyo itakuwa ni Sawa na kuuza bandari uwe unaelewa basi. Kama Mtu Una nyumba haijaisha unapangisha Mtu Kwa masharti ya kumalizia nyumba na ataanza kulipa Kodi Muda àmbao ni dhahiri wewe utakuwa umeshakufa na Muda wote ukiwa hai hutapata kitu si Sawa na kuuza? Jipeni Muda wa kufikiri acheni kusombwa na maneno matamu wakati mifano ya mikataba mibovu ya serikali mnayo.
 
20141018_MAP004_0.jpg
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Source: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Huyu R ni shetani na chizi haswa
 
Bora ingekuwa imeuzwa tukawadai hao wauzaji warudishe Fedha zetu.

Wamegawa hiyo Bandari! Na tende walizozibwia zimeisha. Sasa Wamebaki vibogoyo kwa misukari ile ilivyotafuna meno yao na sasa wana mumunya mumunya maneno tu. Ati Soko!
 
Pana wengine wanafaa wawe Mc wa harusi za vijijini hawafai kushika mic mjini
 
Mimi kwa ujumla huwa nachukulia wakuu wa wilaya, mikoa wote ni ma failure na naweza kuungana na New wa Mitego kwa hili. Tunatawaliwa na zero brain.
 
Kwamba

Kwamba Mkapa alipouza mashirika ya umma chini ya sera ya ubinafshaji au privatization mashirika hayo yaliondoka na kwenda nyumbani au chi za walionunua?

Kwamba miongoni wa waliokamatwa na Kwa hoja walizoipelekea mahakama kuu Kuna mahala walisema miongoni mwa hoja zao ni bandari imeuzwa au ni kukikukwa kwa katiba na sheria?
Kwanini mnatunga hoja na kwenda nazo mbele ya umma kuzijibu? Kwanini wasijibu hoja zinazoibuliwa na ziliko bayana!

Hujaona kwenye hukumu Kuna baadhi ya mambo mahakama imeshangaa? Au hujaona kwamba Kuna maeneo au provisions ambazo mahakama imekiri Zina dosari? Hujaona mahakaa ikikiri kuwa inajizuia kuingilia shughuli za Bunge hasa kwenye hoja iliyohusu bunge?
Huwa mnatumia Nini kufikiri?
Kubinafsisha ndio kuuza? Baada ya kuuza Serikali ikaacha kupata pesa au?
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani soko la feri ni bandari, au mimi ndio sijaelewa
 
Huyu si aliambiwa na boss wake ana utoto mwingi? Bandari na soko la ferry vinahusiana vipi
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
“Our people's way of life shows an unfortunate spirit of fear to speak about politicians and politics. Fear to express what one believes in good faith to be the correct opinion on the trend of affairs in the nation. There are fears of ending up in "keko, " i.e., detention; fears of "unamulikwa" — sort of being spied upon; fears of losing a nice job; fears of missing a promotion; and fears of losing some favour or other, if you dare to air a view which contradicts the authorities or the "official line"; even if you believe very strongly that your opinion would be of vital benefit to the nation as a whole. This unfortunate spirit of fear so badly injures the character of our people to an extent that it may be bad for the national interest as a whole”.CANDID SCOPE aliandika katika kitabu chake Honest to My Country.
 
Aina ya Viongozi kama hawa wamebakia Tanzania pekee
Na jitihada na kuwaondoa watu wa namna hii kwenye uongozi haijawahi kuwa kazi rahisi.
Ni pale tu watu aina hii watakapokuwa nnje ya mfumo wa uongozi ndipo tutayapata maendeleo ya kweli.
 
Mara waseme imeuzwa,mara waseme mkataba wa milele,mara waseme mkataba wa miaka 100 Hata hawaeleweki.
Wewe ndiye huna uwezo wa kiakili wa kuelewa hoja za msingi za wapinga IGA hii iliyopo.
Ni taahira tuu anayeweza kutoelewa hoja za wapinga IGA.
 
Ila hii tabia ya uchawa imechangia sana kupata viongozi wapumbavu. Sasa sifa ya kupata uongozi sio uwezo na weledi tena, bali ni kuwa mpambe wa ngazi za uteuzi. Matokeo yake ndio hawa wapumbavu hawajui wanaongea nini. Kila mtu anajua serikali inatisha wakosoaji kwa hayo makosa ya kubainika kwa lengo la kuwanyamazisha, japo wananchomekea ni uhaini. Huyo mjinga hajui hata wenzake wanaigiza nini yeye anaweka wazi lengo la serikali yake.
 
Wewe ndiye huna uwezo wa kiakili wa kuelewa hoja za msingi za wapinga IGA hii iliyopo.
Ni taahira tuu anayeweza kutoelewa hoja za wapinga IGA.
Hua mnakuja na lugha za kutukana watu kisha mkishambuliwa mnaanza kulalamika,

Sawa Binti,wewe mwenye akili hebu nieleze kinachopingwa ni kipi kati ya hivyo nilivyovielezea?

Lingine,wewe umejuaje kua una akili? Umetumia criteria gani kujua kua wewe una akili? Una akili ya jambo gani au wewe una akili ya kila jambo?
 
Back
Top Bottom