RC Chalamila ahoji kama Bandari imeuzwa mbona soko la Ferry bado lipo. Asema waliopotosha wote wako ndani na wataendelea kukamatwa wakiibuka wengine

Huyu jamaa ni muongo wa kutupa! Sasa anaongea hivyo ili kuwatisha watu au?
 
Ila Chalamila ana vituko sana sasa Bandari na soko la feri mbona ni kama mchana na usiku.

Nae hapo akajiona kaongea😁

Ila inasemekana ni kiongozi ambae muda yote anampigia kampeni samia yani anahakikisha katika kila jambo kampromoti iwe msibani,kanisani,michezoni hata barabarani ni moja ya mbinu anatumia kulinda ugali wake
 
Aina ya Viongozi kama hawa wamebakia Tanzania pekee
Hakika kuna huyu na IGP wambura😁

Moja kati ya kauli zao za kushangaza ni hii Chalamila kusema bandari haijauzwa na ndio mana soko la ferry bado lipo😁 na wambura kusema rais atapinduliwa😁

Hizi kauli za viongozi hawa zinadhihirisha ni jinsi gani tulivyo na viongozi wa ajabu katika Taifa hili ambao ni wasaidizi wa Rais

Wazungu wanasema gabbage in gabbage out
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Mambo ya kitoto myaache hukohuko kwa wenyewe msituletee humu.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Kumbe anadharau kiasi hicho. Ningekuwa kwenye kundi hilo ningemjibu" je sisi unatuona wajinga Sana Hadi utwambie mbona soko la ferry Bado lipo?" Kauli yake na yule aliyesema "wanasema bandari imeuzwa mbona haijawekwa mfukoni na kuondoka "? Ina tofauti Gani. Hawa Jamaa kumbe huwa wanaona wavuvi na wananchi wa kawaida ni wajinga. Kwamba hawawezi kuchanganua mambo
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Hawa jamaa wanawachukulia wabongo kama mbumbumbu mzungu wa reli, kwani bandari,ni Mali inayohamishika?
Ukiuza nyumba ya familia yako, uliyemuuzia anaibeba na kuondoka nayo? Nikiamua kuiacha vile vile, nikaipangisha, wanao wakija wanaiona ipo vile vile, wanaweza, wakasema ni yao, wakati hawafsidiki chochote, hawaishi humo, hawawezi kuingia, kama imepangishwa, hawali rent!
Kuuzwa sio lazima uamishe, kenge sana huyu mbwa
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
AtajielewA baadaye
 
Kina Chalamila wapo wengi sana kwenye hii Nchi., kikubwa mambo yake yanaenda na ugali unakuja mezani kwa wakati. Ni wale waliosemwa na Nyerere enzi zile vijana wa hovyo kabisa kila kitu ndiyo bwana mkubwa.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Kashalewa madaraka huyu tayari
 
Hapo umeona kuna point? Ni nini unachopata kwenye gesi ya Mtwara na serikali yako ilifikia hatua ya kuua Wananchi ili Mwekezaji achukue gesi mliyotuaminisha otasambazwa Kila nyumba ya Mtanzania Kwa bei nafuu? Mliwasingizia watu wa Mtwara ni wabinafsi wanatakà wafaidi gesi Peke yao wakati Maliasili ni suala la kitaifa, Leo kiko wapi? Kwako umeunganishiwa bomba la gesi? Unapoambiwa mkataba Una kasoro hautatufaidisha kitu hivyo itakuwa ni Sawa na kuuza bandari uwe unaelewa basi. Kama Mtu Una nyumba haijaisha unapangisha Mtu Kwa masharti ya kumalizia nyumba na ataanza kulipa Kodi Muda àmbao ni dhahiri wewe utakuwa umeshakufa na Muda wote ukiwa hai hutapata kitu si Sawa na kuuza? Jipeni Muda wa kufikiri acheni kusombwa na maneno matamu wakati mifano ya mikataba mibovu ya serikali mnayo.
ushahidi hakuna mkuu ila kuna maneno ya hovyo2
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari

Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?

Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu

RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry

Chanzo: Jambo TV

Mungu ni mwema wakati wote!
Imagine this mindset ya RC 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom