HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hata mama yako aliyekuzaa nimemzidiila hakuna anayekuzidi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mama yako aliyekuzaa nimemzidiila hakuna anayekuzidi wewe
Hakika kuna huyu na IGP wambura😁Aina ya Viongozi kama hawa wamebakia Tanzania pekee
Mambo ya kitoto myaache hukohuko kwa wenyewe msituletee humu.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Kumbe anadharau kiasi hicho. Ningekuwa kwenye kundi hilo ningemjibu" je sisi unatuona wajinga Sana Hadi utwambie mbona soko la ferry Bado lipo?" Kauli yake na yule aliyesema "wanasema bandari imeuzwa mbona haijawekwa mfukoni na kuondoka "? Ina tofauti Gani. Hawa Jamaa kumbe huwa wanaona wavuvi na wananchi wa kawaida ni wajinga. Kwamba hawawezi kuchanganua mamboMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Hawa jamaa wanawachukulia wabongo kama mbumbumbu mzungu wa reli, kwani bandari,ni Mali inayohamishika?Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
AtajielewA baadayeMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Kina Chalamila wapo wengi sana kwenye hii Nchi., kikubwa mambo yake yanaenda na ugali unakuja mezani kwa wakati. Ni wale waliosemwa na Nyerere enzi zile vijana wa hovyo kabisa kila kitu ndiyo bwana mkubwa.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Kashalewa madaraka huyu tayariMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
🤣🤣🤣 tuanze lilia soko sasa.Ferry soko la samaki lipo kwa hiyo bandari haijauzwa. Kumbe bandari ikiuzwa na soko letu linaenda??
ushahidi hakuna mkuu ila kuna maneno ya hovyo2Hapo umeona kuna point? Ni nini unachopata kwenye gesi ya Mtwara na serikali yako ilifikia hatua ya kuua Wananchi ili Mwekezaji achukue gesi mliyotuaminisha otasambazwa Kila nyumba ya Mtanzania Kwa bei nafuu? Mliwasingizia watu wa Mtwara ni wabinafsi wanatakà wafaidi gesi Peke yao wakati Maliasili ni suala la kitaifa, Leo kiko wapi? Kwako umeunganishiwa bomba la gesi? Unapoambiwa mkataba Una kasoro hautatufaidisha kitu hivyo itakuwa ni Sawa na kuuza bandari uwe unaelewa basi. Kama Mtu Una nyumba haijaisha unapangisha Mtu Kwa masharti ya kumalizia nyumba na ataanza kulipa Kodi Muda àmbao ni dhahiri wewe utakuwa umeshakufa na Muda wote ukiwa hai hutapata kitu si Sawa na kuuza? Jipeni Muda wa kufikiri acheni kusombwa na maneno matamu wakati mifano ya mikataba mibovu ya serikali mnayo.
Sure! Wasije binafsisha soko letu wakapandisha bei supu ya pweza tukashindwa kusimamisha mikufu.🤣🤣🤣 tuanze lilia soko sasa.
Imagine this mindset ya RC 🤣🤣🤣🤣Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari