Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndiyo maana huwa wanajisainia tu.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Hapo umeona kuna point? Ni nini unachopata kwenye gesi ya Mtwara na serikali yako ilifikia hatua ya kuua Wananchi ili Mwekezaji achukue gesi mliyotuaminisha otasambazwa Kila nyumba ya Mtanzania Kwa bei nafuu? Mliwasingizia watu wa Mtwara ni wabinafsi wanatakà wafaidi gesi Peke yao wakati Maliasili ni suala la kitaifa, Leo kiko wapi? Kwako umeunganishiwa bomba la gesi? Unapoambiwa mkataba Una kasoro hautatufaidisha kitu hivyo itakuwa ni Sawa na kuuza bandari uwe unaelewa basi. Kama Mtu Una nyumba haijaisha unapangisha Mtu Kwa masharti ya kumalizia nyumba na ataanza kulipa Kodi Muda àmbao ni dhahiri wewe utakuwa umeshakufa na Muda wote ukiwa hai hutapata kitu si Sawa na kuuza? Jipeni Muda wa kufikiri acheni kusombwa na maneno matamu wakati mifano ya mikataba mibovu ya serikali mnayo.Basi2 upotoshaji iv kweli rais anao uwezo wa kuuza bandari kweli. Aisee
Huyu R ni shetani na chizi haswaMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Bora ingekuwa imeuzwa tukawadai hao wauzaji warudishe Fedha zetu.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Kubinafsisha ndio kuuza? Baada ya kuuza Serikali ikaacha kupata pesa au?Kwamba
Kwamba Mkapa alipouza mashirika ya umma chini ya sera ya ubinafshaji au privatization mashirika hayo yaliondoka na kwenda nyumbani au chi za walionunua?
Kwamba miongoni wa waliokamatwa na Kwa hoja walizoipelekea mahakama kuu Kuna mahala walisema miongoni mwa hoja zao ni bandari imeuzwa au ni kukikukwa kwa katiba na sheria?
Kwanini mnatunga hoja na kwenda nazo mbele ya umma kuzijibu? Kwanini wasijibu hoja zinazoibuliwa na ziliko bayana!
Hujaona kwenye hukumu Kuna baadhi ya mambo mahakama imeshangaa? Au hujaona kwamba Kuna maeneo au provisions ambazo mahakama imekiri Zina dosari? Hujaona mahakaa ikikiri kuwa inajizuia kuingilia shughuli za Bunge hasa kwenye hoja iliyohusu bunge?
Huwa mnatumia Nini kufikiri?
Kwani soko la feri ni bandari, au mimi ndio sijaelewaMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Huyu si aliambiwa na boss wake ana utoto mwingi? Bandari na soko la ferry vinahusiana vipiMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
“Our people's way of life shows an unfortunate spirit of fear to speak about politicians and politics. Fear to express what one believes in good faith to be the correct opinion on the trend of affairs in the nation. There are fears of ending up in "keko, " i.e., detention; fears of "unamulikwa" — sort of being spied upon; fears of losing a nice job; fears of missing a promotion; and fears of losing some favour or other, if you dare to air a view which contradicts the authorities or the "official line"; even if you believe very strongly that your opinion would be of vital benefit to the nation as a whole. This unfortunate spirit of fear so badly injures the character of our people to an extent that it may be bad for the national interest as a whole”.CANDID SCOPE aliandika katika kitabu chake Honest to My Country.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Chanzo: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Na jitihada na kuwaondoa watu wa namna hii kwenye uongozi haijawahi kuwa kazi rahisi.Aina ya Viongozi kama hawa wamebakia Tanzania pekee
Wewe ndiye huna uwezo wa kiakili wa kuelewa hoja za msingi za wapinga IGA hii iliyopo.Mara waseme imeuzwa,mara waseme mkataba wa milele,mara waseme mkataba wa miaka 100 Hata hawaeleweki.
Hua mnakuja na lugha za kutukana watu kisha mkishambuliwa mnaanza kulalamika,Wewe ndiye huna uwezo wa kiakili wa kuelewa hoja za msingi za wapinga IGA hii iliyopo.
Ni taahira tuu anayeweza kutoelewa hoja za wapinga IGA.