johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama kunakuibiwa Kura zitaibiwa tuNdivyo serikali inavyodeal na wakosoaji.
Wasidhani wataendelea kuiba kura.
Ulevi wa madaraka ni kansa
Huyo "Cha Wote" ni mfupi kwa kimo na kiakili.Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Naunga mkono hoja.Huyo "Cha Wote" ni mfupi kwa kimo na kiakili.
TUsubiri mkuu.Kama kunakuibiwa Kura zitaibiwa tu
Upande hakuna UHAINITUsubiri mkuu.
Wakiiba tunawafungulia kesi ya UHAINI
Uuze Bandari ili iwaje?Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Aina ya Viongozi kama hawa wamebakia Tanzania pekeeMkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari
Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo?
Chalamila amesema wote waliopotosha kuwa Bandari Imeuzwa hivi sasa wako ndani na yeyote atakayeendeleza Upotoshaji atakamatwa mara moja, DSM ni jiji la Amani na kamwe haitakuwa sehemu ya vurugu na kutiana hofu
RC Chalamila alikuwa akihutubia Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Ferry
Source: Jambo TV
Mungu ni mwema wakati wote!
Ndio maana ya kuitafuta Dola Kwa gharama yoyote ili uwe na DolaMkijibiwa kwa hoja mnaishia kutumia vyombo vya dola. Hopeless kabisa.
Ujadili usijadili lakini ndio RCMaRC wajinga kama hawa sio hata wa kuwajadili.