OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo lengo ni kutibu na siyo kukinga? Ndiyo maana serikali inafurahia kuona wagonjwa wanafurika kwenye Mahospitali?
Sasa unakinga kwa kujenga hospitali mpya! Nimejibu kulingana na ulichouliza. Sijafuatilia hata kidogo tukio zima linalozungumziwa kwenye mada kuu.Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa Mabilioni ya pesa
Braza, halijawahi kutocheza.RC wa Mbey Dishi limecheza.