RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

Hongereni kwa hospital zenu kujaa wagonjwa,mnasikia raha utamu raha utamu.
Nalog off
 
Aisee huyo chalamila ni nyumbu kama nyumbu wengine,yaani ni mweupe sana kichwani nashangaa sijui kwanini wajinga ndo wanapata vyeo hapa bongo!
 
Kwa akili zake kila mahali tunalenga pajae.
Mbuga zijae watalii.
Ndege zijae abiria.
Hospitali zijae wagonjwa, hence mortuary zijae maiti.
 
..kama hayo madai hayakusemwa ktk kanisa husika, basi rc chalamila atakuwa amekosea kutoa majibu ya serikali kanisani.
 
Kwa hiyo lengo ni kutibu na siyo kukinga? Ndiyo maana serikali inafurahia kuona wagonjwa wanafurika kwenye Mahospitali?
sasa wewe hulali na net unategemea serikali ikukinge unakua kama wale waliokua wanataka serikali itoe tamko kuhusu corona utazani tamko ndio chanjo
 
religion and politics iko dunia yote
 
Ifike mahali taaluma iachiwe uwanja wake kwa wanayokutana nayo madakatari anaweza kuyamudu huyo mwanasiasa akishinda wodini siku walau moja?

Ni rahisi kukaa kwenye kiyoyozi na kuendeshwa kwenye gari la millioni 400 huku daktari hajaliwi kimaslahi na dawa hakuna heshima itatoka wapi hadi mwanasiasa anawafundisha kazi ilhali walikaa miaka 6 kuaminika? Nkt
 
[emoji3][emoji3][emoji3] jibu linakera na kufurahisha
 
Well!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Akustahili kutoa jibu kama ilo apo amejibu kisiasa bora angekaa kimyaa kuliko kusema ivoo bora angekaa kimyaa
 
nafsi moja ndani yake kuna nafsi nyingi kinzani, ni vile kudinda tu maana hakuna tofauti baina ya ukweli na uongo, uovu na wema.
kila mtu akiendelea kulinda na kutetea maslahi yake kwa gharama ya kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…