RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

Cha msingi amekiri kwamba zimejaa, hivyo tumwombe Mungu, kumtegemea na kuchukua tahadhari, Giza limetanda ila Yesu ni nuru na njia, we shall overcome.
 
Thanks to elimu,

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Huyu bwana ana behave kama mpiga debe na mpayukaji wa daladala za kwenda Buza. No class at all.

Suprisingly mteuzi anapenda watu wa design hii
 
Hospital haitakiwi ijae mpaka wagonjwa wakose nafasi ya kupata huduma mpaka wanakufa ndo maana kila hospital ina ukubwa wake kufuatana na wingi wa wagonjwa wanaoweza kuhudumiwa kwa wakati mmoja lakini wakijaa na kuzidi lazima kuna Changamoto ya kupumua. Vivyo hivyo na Shule, Darasa linatakiwa kuwa na wanafunzi 45 wakizidi hapo mpaka 200 kama viongozi wa Awamu ya Tano kama Chalamila wanavyosifiana na kupongezana, matokeo yake ndo wanafunzi kutojua kusoma na kuandika mpaka Sekondari. Hospital wagonjwa wakijaa wanakufa tunalia lakini tukizika wafu wanasahaulika, wanafunzi wakijaa Shuleni wanakuwa wamepoteza muda wao bure afadhali wangebaki nyumbani wanachunga mifugo wangejifunza mengi ya jadi. Toa sababu zozote lakini wagonjwa wanaojaa hospitalini Mbeya wana Covid-19 maana ipo!
 
Huyu sijui siku akikosa post ya huo u RC ataishije?
 
Ila makanisa nayo sasa, anyways wacha tuendelee kushuhudia.
 
Zikikosa wagonjwa napo watasema tena ni white elephant
anyway, me nafikiri malalamiko ya rc yamekuwa distorted..yeye alijua kuwa kujaa kule ni kwasab ya covid
 
Huu utawala umefitinika. Yaani RC anatamani hosipitali zijae wagonjwa? Kuna siku atatamani motuary zijae maiti na ndo hapo patahitajika daktari mwenye pHD Ya uenda wazimu.
Na siku itafika huyu mwehu atatamani maeneo ya makaburi yajae maiti.
 
Hatac
Kwa hiyo lengo ni kutibu na siyo kukinga? Ndiyo maana serikali inafurahia kuona wagonjwa wanafurika kwenye Mahospitali?
Hata ukinunua jeneza utakaribishwa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…