Pre GE2025 RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
vipi anawaambiaje wanajeshi wanaojiandaa kufanya usafi kutokana na amri yake?
 
Ukiwa punguani unaweza kuamini kuwa ni rahisi kumfyeka binadamu mwenzako.

Tatizo letu ni kukosa ujasiri. Tungekuwa majasiri, hakuna wa kutisha wala kuufyeka umma. Sanasana mambo yamgekuwa kinyume chake, watawala ndio wangekuwa wanauogopa umma.
Unachati badala ya kuandamana wewe nyumbu Toka humu
 
Sawa kabisa
 
Kinyonge Sana Sana
 
Naunga mkono hoja andamaneni kwa amani , endeleeni kutupa update
 
Niko kwenye msafara Najua mtakuja kuharibu maandamano na bila shaka mtajichanganya leo lazima nikuoe tu!
Thmekosa kazi za kufanya Hadi tuje kisukuma upepo? 🤪🤪

Tumieni akili kufikiria sio makanyagio
 
Mkuu wa Mkoa ile kauli yake ya kuwaita majeshi yote yaje yafanye usafi hawezi kuirudia tena maana jamaa waliona msizwa ameeadharau hadharani kabisaa akastuka..
 
Hongera waandanamaji wote, wametekeleza haki yao kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…