Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
vipi anawaambiaje wanajeshi wanaojiandaa kufanya usafi kutokana na amri yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachati badala ya kuandamana wewe nyumbu Toka humuUkiwa punguani unaweza kuamini kuwa ni rahisi kumfyeka binadamu mwenzako.
Tatizo letu ni kukosa ujasiri. Tungekuwa majasiri, hakuna wa kutisha wala kuufyeka umma. Sanasana mambo yamgekuwa kinyume chake, watawala ndio wangekuwa wanauogopa umma.
Toka jf nenda kuandamana wewe nyumbu,si umeruhisiwa Sasa unabwatuka nini humu?Mbwa koko huyu hapa anahaha majalalani! Kipindupindu kikuue wewe hayawani mkubwa!
Sawa kabisaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe walioukusudia siku ya leo.
"Mnatakiwa kufikisha ujumbe pale mlipokusudia, serikali tuko na nyie na tunawatakia kila la heri, ninyi na mimi ni wana Dar es Salaam penye mzunguko mkubwa wa pesa, penye hospitali kubwa na uwekezaji mkubwa, maandamano yetu yanapaswa kulinda uwekezaji wote huo, Rais Samia na viongozi wote wamesema wacha watu waandamane," amesema Chalamila
View attachment 2881134
Kama kweli alikuwa chuma mbona alidedi, si angegoma kudedi abaki duniani kuendelea kutufyeka (CHADEMA)?!Hawana kazi za kufanya hao nyumbu wa Chadema.
Makonda anasema Samia ni mama vinginevyo ingekuwa awamu ya chuma angewafyeka wote 😂😂
Kinyonge Sana SanaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe walioukusudia siku ya leo.
"Mnatakiwa kufikisha ujumbe pale mlipokusudia, serikali tuko na nyie na tunawatakia kila la heri, ninyi na mimi ni wana Dar es Salaam penye mzunguko mkubwa wa pesa, penye hospitali kubwa na uwekezaji mkubwa, maandamano yetu yanapaswa kulinda uwekezaji wote huo, Rais Samia na viongozi wote wamesema wacha watu waandamane," amesema Chalamila
View attachment 2881134
Ila kweli Ujue hahaahhaKama kweli alikuwa chuma mbona alidedi, si angegoma kudedi abaki duniani kuendelea kutufyeka (CHADEMA)?!
Au siyo...Amesandaaaaaaa
View attachment 2881170
Mkubwa kasandaaa dogo katoboaaaa...... it's there time to shine men!
Niko kwenye msafara Najua mtakuja kuharibu maandamano na bila shaka mtajichanganya leo lazima nikuoe tu!Toka jf nenda kuandamana wewe nyumbu,si umeruhisiwa Sasa unabwatuka nini humu?
Thmekosa kazi za kufanya Hadi tuje kisukuma upepo? 🤪🤪Niko kwenye msafara Najua mtakuja kuharibu maandamano na bila shaka mtajichanganya leo lazima nikuoe tu!
Ulitakaje, zitokee vurugu?Haya maandamano yameifadisha sisiemu kisiasa kuliko Chadema
Wewe towashi usitusumbue! kaa kwa bwanako salama!Thmekosa kazi za kufanya Hadi tuje kisukuma upepo? 🤪🤪
Tumieni akili kufikiria sio makanyagio