Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa leo katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea leo December 08,2024, RC Chalamila amesema “Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea”
“Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa Familia yake”
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake" View attachment 3172687
RC alikuwepo Mzee Kibao akipotezwa. Amemsafisha nani kwa tukio lile? Mbele ya Mwenyezi Mungu sisi sote tuko sawa.
Na ukipenda kutendewa haki lazima uwe mtenda haki.
Tunajiaibisha sana

Bado naendelea kuuliza: Je, Watu hao kweli walikuwa Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction?

Hoja hii ya kwamba Watu hao walikuwa ni Watumishi wa TRA naona kama ni 'Cover Story' tu baada ya jaribio lao la kumteka huyo mtu kufeli. Wametunga stori hii ili kuwazuga watu wasijue dhamira halisi ya awali ya kumteka huyo mtu.

Kitendo cha serikali kufumbia macho utekaji wa viongozi wa vyama siasa ndicho kinasababisha yote haya, kwa sasa ni ngumu kuamini polisi halali.Na kwa ufupi haya mambo ya utekaji sio kwamba yameanza leo au hii mbinu ya polisi au TIS ni ya zamani sana lkn ilikuwa haijawa na umaarufu namna hii kwenye vyombo vya habari, wapo watumishi wa uma walishafanyiwa sana mambo haya(Ulimboka) lkn kwa sasa imezidi baada ya kulenga upinzani tu.

Upo sahihi kabisa mkuu. Hebu fikiria na kile chuo fulani kimetoa waraka(tanzia) kuwa marehemu alikuwa ni mwanafunzi wao(full-time)! Huyo jamaa huenda ni undercover aliyekuwa anafanya kazi Dom(akijifanya mwanafunzi) na Dsm akijifanya kaajiriwa TRA Dsm. Wakati huohuo yupo ndani ya genge linaloogopwa na akina sisi.
Kitendo cha serikali kufumbia macho utekaji wa viongozi wa vyama siasa ndicho kinasababisha yote haya, kwa sasa ni ngumu kuamini polisi halali.Na kwa ufupi haya mambo ya utekaji sio kwamba yameanza leo au hii mbinu ya polisi au TIS ni ya zamani sana lkn ilikuwa haijawa na umaarufu namna hii kwenye vyombo vya habari, wapo watumishi wa uma walishafanyiwa sana mambo haya(Ulimboka) lkn kwa sasa imezidi baada ya kulenga upinzani tu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake" View attachment 3172687
Serikali kama wanaakili inabidi wabadilike namna ya ukamataji wao.waepuke ukamataji wa kiutekaji.wakiendelea ukamataji wa kiutekaji ipo siku wananchi wataitoa serikali nzima madarakani.wananchi wakiamua hakuna kitakachowazuia