Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu sahihi kwa matukio ya kuteka bado. Kama raia wa kawaida wataendelea kutekwa huku wakipiga kelele kuomba msaada. Wananchi wenye ndugu zao watajitoa mhanga tu kwa kufa au kunusuru. Hatukuwahi kuizoea hali hii. Serikali ikubali ushauri kufuta uovu huu. Tumeishi kwa amani sana miaka yote ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa kiasi. Hali iliharibika tangu wakati wa Mwamba Magufuli. Na sasa hali ni mbaya zaidi. Ni rahisi kutoka nyumbani lakini ni vigumu kurudi nyumbani. Na kibaya sasa hivi utekaji unafanyika kibabe, wazi wazi kama kukamata kuku wa kuchinja.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Angalia kile kichwa chake kilivyo alafu utaoata jibu yule jamaa ni nani?Huyu ni zezeta mwingine. Serikali ya CCM haiaminiki kwani wao ndiyo vinara WA utekaji na uhalifu WA kila aina
Gari ingewashwa moto yote , sawa akuna anayependa watu wafe ila na serikali ikomeshe vitendo viovu wapasuane tu.Hoja hii ya kwamba Watu hao walikuwa ni Watumishi wa TRA naona kama ni 'Cover Story' tu baada ya jaribio lao la kumteka huyo mtu kufeli. Wametunga stori hii ili kuwazuga watu wasijue dhamira halisi ya awali ya kumteka huyo mtu.
Hivi pale alipotekwa Ali Kibao na kuuawa palisafishwa? Muda utatoa jibu sahihi maana Mungu anawaona.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Siku ya msiba huo ,ahadi Huwa nyingi,ila mfuatiliaji wa hizi ahadi sasaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Chalamila ni MbwaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Chalamila ni MbwaNdugu RC hisia kwa kipindi hiki ni hatari sana
Hakuna kifo kikubwa na kidogo, tupambanie utaratibu mzur na uhai wa kila mwanachi, Dola sio ya kuringia hata siku moja, na tusikubali wananchi wakazoea shuruba za dola kwenye maisha yao...
Busara ni muhim sana kipindi hiki, lakini zaidi nadhan mkishauriana na Bashungwa litapatikana jambo la kufanya.
Mkuki kwa NguruweMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Je alipotekwa na kuuawa mzee Kibao huyu RC alifoka hivi?Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa leo katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea leo December 08,2024, RC Chalamila amesema “Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea”
“Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa Familia yake”
View attachment 3172686