RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa

Jibu sahihi kwa matukio ya kuteka bado. Kama raia wa kawaida wataendelea kutekwa huku wakipiga kelele kuomba msaada. Wananchi wenye ndugu zao watajitoa mhanga tu kwa kufa au kunusuru. Hatukuwahi kuizoea hali hii. Serikali ikubali ushauri kufuta uovu huu. Tumeishi kwa amani sana miaka yote ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa kiasi. Hali iliharibika tangu wakati wa Mwamba Magufuli. Na sasa hali ni mbaya zaidi. Ni rahisi kutoka nyumbani lakini ni vigumu kurudi nyumbani. Na kibaya sasa hivi utekaji unafanyika kibabe, wazi wazi kama kukamata kuku wa kuchinja.
 
Wasafishe wasisafishe nfo hivyo..jamaa kaisha kufa.In two weeks atasahaulika...familia yake ndo itabaki na machungu.
Vijana & watu wazima [nimeona yule askari mwenye ndevu nyeupe aliyeenda kumteka wakili - ni mtu mzima kabisa]..tumieni akili - msikubali mtumike kama takataka - fuateni utaratibu la sivyo mtakufa au mtapata vilema - mtaacha wake zenu na watoto wenu kwenye shida.
Mkiwa kwenye yale magari msipate kiburi cha kujiona nyinyi ni miungu watu - mko immortal..mtakufa na kuumizwa..fuateni utaratibu.Msiibe haki za watu na kutumika kwa nia ovu. Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Hoja hii ya kwamba Watu hao walikuwa ni Watumishi wa TRA naona kama ni 'Cover Story' tu baada ya jaribio lao la kumteka huyo mtu kufeli. Wametunga stori hii ili kuwazuga watu wasijue dhamira halisi ya awali ya kumteka huyo mtu.
Gari ingewashwa moto yote , sawa akuna anayependa watu wafe ila na serikali ikomeshe vitendo viovu wapasuane tu.
 
Hivi pale alipotekwa Ali Kibao na kuuawa palisafishwa? Muda utatoa jibu sahihi maana Mungu anawaona.
 
Mambo mengine ni ya kujitakia tu. Mnaanzaje kumzingira mtu usiku wa saa tatu na lancruiser nyeupe kwa kisingizio eti cha kutaka kumkagua! Na kama mlikuwa mna mashaka naye, kwa nini hamkuwaita polisi waje wawasaidie?

Au ni kwa sababu mnatuona sisi wanancho ni makondoo, kwa hiyo tutakubali tu mtufanyie chochote mpendacho!
 
Ndugu RC hisia kwa kipindi hiki ni hatari sana

Hakuna kifo kikubwa na kidogo, tupambanie utaratibu mzur na uhai wa kila mwanachi, Dola sio ya kuringia hata siku moja, na tusikubali wananchi wakazoea shuruba za dola kwenye maisha yao...

Busara ni muhim sana kipindi hiki, lakini zaidi nadhan mkishauriana na Bashungwa litapatikana jambo la kufanya.
 
Siku ya msiba huo ,ahadi Huwa nyingi,ila mfuatiliaji wa hizi ahadi sasa
 
Chalamila ni Mbwa
 
Chalamila ni Mbwa
 
Mkuki kwa Nguruwe
 
Je alipotekwa na kuuawa mzee Kibao huyu RC alifoka hivi?
Watu wote ni sawa!
Kama hitimisho lilikuwa "kifo ni kifo" na iwe hivyo kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…