Akimaliza kuongea anaingia kwenye cruiser na ulinzi anaondoka.Wanataka kupasafisha ? RC aangalie asije akawa anazidi kuwagawa na kuwatenga hao wananchi wa Tegeta na vyombo vya serikali maana inaonekana ni kama raia wamejiwekea kuwa ni sisi dhidi "yao"
Isivyo bahati yeye ndio watamsafisha kabisa na ataisikia hewani mji unaoitwa Dar Es Salaam. Anatishia wananchi wanaostahiki kulindwa lakini anajitutumua kufanya mambo ya ajabu.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Wasiojulikana wameanza kupata TIBA STAHIKI, huyo RC mlevi ajue tu kwamba kwasasa hali itakuwa mbaya zaidi kwa MAGENGE YAO YA UTEKAJI.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Watekaji wa Mzee Kibao hao, wanabahati sana wale wengine wenye silaha walichomoka mbio. Kwasasa wananchi tumeamua ni mwendo wa kiberiti tu, hadi pale tutakapoheshimiana.Serikali kama wanaakili inabidi wabadilike namna ya ukamataji wao.waepuke ukamataji wa kiutekaji.wakiendelea ukamataji wa kiutekaji ipo siku wananchi wataitoa serikali nzima madarakani.wananchi wakiamua hakuna kitakachowazuia
Chalamila DAR haiwezi ππkama kiongozi usiendeshwe na mihemko na jazba sifa na kibri pima uzito wa kauli kila mmoja anayo haki ya kuishi ila isiwe kwa vitisho!
Umechungulia bwashee!Chalamila DAR haiwezi ππ
Ninawashauri waanze kuisafisha ccm na genge la polisi kwanza, maana hawa ndio walioifikisha jamii/wananchi kwenye hatua hiyo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema eneo palipofanyika tukio patasafishwa.
Akiongea wakati wakuaga mwili, RC Chalamila amesema "Kitendo hiki kilichotokea hakina maelezo mengi kwa sababu walijitambulisha kwamba wanafanyakazi TRA na yule Bwana akafunga vioo katika gari lake kwamba hashuki akatumia muda mwingi kuwaita wenzake na akapiga kelele kwamba anatekwa mwisho wa siku kikatokea hiki kilichotokea"
"Kamishna Jenerali amesema kwamba kuna Watu wanatoka nyumbani wakiwa wamejipanga kwamba watatii sheria na shuruti, mambo haya yatapatiwa majibu muda sio mrefu, hasara hii haina mbadala, ni hasara kwa Taifa na kwa familia yake"
View attachment 3172687
Kwani dereva ni ofisa?Wanataka kupasafisha ? RC aangalie asije akawa anazidi kuwagawa na kuwatenga hao wananchi wa Tegeta na vyombo vya serikali maana inaonekana ni kama raia wamejiwekea kuwa ni sisi dhidi "yao"
Wanataka kupasafisha ? RC aangalie asije akawa anazidi kuwagawa na kuwatenga hao wananchi wa Tegeta na vyombo vya serikali maana inaonekana ni kama raia wamejiwekea kuwa ni sisi dhidi "yao"