RC Chalamila amechoka kukaa DSM, changamoto zimezidi anatamani kutua mzigo. Kila la kheri kwenye majukumu mapya

Rais alishamuonya siku ile aliyomuapisha, alimwambia kwamba " mwanangu Chalamila natumaini sasa umekuwa." Inavyoonekana RC Chalamila bado hajaielewa kauli hii ya Rais.
 
Chalamila ni mgonjwa anajiona comedian na sio kiongozi
Bangi ni ngumu kuiacha.
Jamaa anaongea utumbo mtupu.
Hajui anasimamia kitu gani.

Hajui anataka kusema noni.

Hajui hata Wadaslam wanataka nini.

Kwa kifupi ni sawa na mlevi anaogolea pombe
 
Ila kusema kweli Dar imefuruka sana,leo nimeingia Tanga na kutoka, Mji wa Tanga uko na full space with few people, no traffic jams!!
 
Hilo jiji analiweza FATMA MWASSA hao wengine ni porojo tu, tena Chalamila angepewa ukatibu mkuu CCM.
Chalamila ndiyo mwenyewe, hata humu nakumbuka kuna watu walimuomba Mama tuletee Chalamila baada ya kumuona Kunenge kuna sehemu analega!!
 
Mtu kama chalamila mpuuzeni tu afya ya akili pale imezorota lakini tujiulize aliemteua na yeye zinamtosha kweli kiufupu pipa na mfuniko bidhaa moja
Lakini kwani kasema uwongo na kero za Dar jamani!!??
 
Kwani Mwanza siyo jiji?acha ushamba wewe,kama huna uwezo wa kununua gari daslam,afu unashinda kwenye folen ya mwendokasi shauri yako[emoji1787]
Ana hasira sana baada ya Chalamila kumuambia ukweli!!
 
Kaka yake si yule Naibu kule kwenye Panadol.
 
Hii ndio job description ya mkuu wa mkoa au?

Mkuu tuletee JD ya mkuu wa mkoa hapa
 
Kabla ya kulaumu mtu mtazame kwanza kichwa chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…