RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Yes, end of the day hao ndio wapiga kura sasa... Kwani ukweli ni kitu gani
📌KURA ZENU NI GERESHA KUZUBAISHA WAZUNGU. KURA YAKO HAINA CHOCHOTE KIJANA, FANYA KAZI KWA BIDII UWEZE KUJIHUDUMIA WEWE NA WANAOKUTEGEMEA!!!

📌ACHENI KUJIPA UMUHIMU,WEWE NA WENZAKO HAO MASKINI HAMNA UWEZO WA KUAMUA NANI AWE KIONGOZI.FUTA HIZO SIASA HUKO KWENYE KICHWA CHAKO.
 
Naomba kujua, lengo la thread ni huyu mjamzito kupata msaada anaohitaji au kutaka Chalamila aondolewe?

Ova
 
Mhandisi wa Jamii ulisoma Shule gani hadi Leo ni Job less? 🐼😂
 
Mh. Rais Samia alimuonya sana Chalamila wakati alipompa Ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya kuharibu huko Mwanza na kutenguliwa, tena Mh. Rais alimwambia Chalamila naamini sasa umekuwa na utoto umeacha, lakini naona Chalamila kila siku iendayo anarudi kule kule, maneno makali makali na utu unamtoka na anaongea maneno ambayo kiukweli kwa mwananchi maskini, tena mama mjamzito huwezi kamwe kusema aliyosema Chalamila.

Chalamila kajisahau kabisa, karudia tabia yake ile ile, ya kujisahau na kuanza kuongoza kwa kiburi sana, dharau sana na naamini atamkwaza sana Mh. Rais aliyemteua na kumpa u RC..!!

Mh. Rais Samia akiona hii clip, anaweza chukia vibaya na kuchukua kalamu yake nyekundu na kumtengua haraka sana.
 
Ni masikitiko makubwa kama bado ataendelea kuwa kiongozi wa binadamu hadi kesho
 
Kumekuwa na kelele nyingi za machawa kuwa mama amejenga hospitali kila wilaya na zahanati kila kata. Lkn kumbe yamejengwa majengo tu yasiyokuwa na dawa pamoja na vifaa tiba.

Hivi sasa wamejitokeza viongozi wa serikali na kuamua kuwaambia wananchi ukweli. RC wa mkoa wa DSM amesema hospitali na zahanati hazina dawa na vifaa tiba. Hata gloves hakuna.

Hivyo ameagiza wajawazito kujinunulia gloves na kama hawana ni Bora wakajifungulia nyumbani.

 
Tatizo la Chalamila ni Mkweli sanaaa
 
Hii inagombanisha serikali na wananchi
 
Tatizo mfumo. Tungekuwa na wakuu wa mikoa na wilaya wanaopigiwa kura na wananchi asingekua na majibu ya kipuuzi kwa mwananchi aliyempigia kura.
 
Bora wazae wanaweza kuzaa vijana wa maana kuliko kuwa na vijana wa hovyo kama wewe.
Hatutaki watu wanaozaa kama panya.


Nyie msio na pesa mngetungiwa SHERIA ya KUFUNGWA vizazi maana mnatujazia wamachinga,mashoga,malaya,madalali,mawinga. Hawa wote ni matokeo ya UZAZI USI NA MPANGO in the name kila mtoto anasahani yake!!!

📌Dunia sio sehemu salama kwa masikini!!!
 
Kama huwez kujenga hoja usiwe una ni quote popote , sawa?
 
Wewe huelewi unachoongea kwwli
 
Keyboard warrior anayejifanya tajiri 🚮
 
Unajenga mgorofa unalala sakafuni

Maza must kumfolo Mwamba

They must go together
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…