pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hapo cha kujifunza unapokuwa mjamzito andaa kabisa na hela ya kujifungulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌KURA ZENU NI GERESHA KUZUBAISHA WAZUNGU. KURA YAKO HAINA CHOCHOTE KIJANA, FANYA KAZI KWA BIDII UWEZE KUJIHUDUMIA WEWE NA WANAOKUTEGEMEA!!!Yes, end of the day hao ndio wapiga kura sasa... Kwani ukweli ni kitu gani
Naomba kujua, lengo la thread ni huyu mjamzito kupata msaada anaohitaji au kutaka Chalamila aondolewe?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
Mimi nimeeleza yupo.Hayupo sasa.
Mhandisi wa Jamii ulisoma Shule gani hadi Leo ni Job less? 🐼😂mimi sio nesi mimi ni mhandisi wa jamii na ni jobless🤗 mimi nadhani nina uwelewa wa juu kukuzidi ndomaana nimakuhoji wewe kwa akili ya kawaida tu.
Wewe huna hoja ndugu yangu,wewe umechagua kusifia na kupindisha mambo hata yaliyo wazi. Yote hayo unawaza labda siku utapewa nafasi uwe kiongozi upande vietiiii😁😁😁😁
Ila hii yaweza kuwa kweli,ila hatari ni kubwa zaidiHii ni mental case
Bora wazae wanaweza kuzaa vijana wa maana kuliko kuwa na vijana wa hovyo kama wewe.NCHI TAYARI INA WATU MILLIONI 60 UNAKUTA MTU BADO ANAZAA HOVYO WAKATI YEYE MWENYEWE KUJIHUDUMIA HAJIWEZI.
Hii inagombanisha serikali na wananchiMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
Hatutaki watu wanaozaa kama panya.Bora wazae wanaweza kuzaa vijana wa maana kuliko kuwa na vijana wa hovyo kama wewe.
Kama huwez kujenga hoja usiwe una ni quote popote , sawa?📌KURA ZENU NI GERESHA KUZUBAISHA WAZUNGU. KURA YAKO HAINA CHOCHOTE KIJANA, FANYA KAZI KWA BIDII UWEZE KUJIHUDUMIA WEWE NA WANAOKUTEGEMEA!!!
📌ACHENI KUJIPA UMUHIMU,WEWE NA WENZAKO HAO MASKINI HAMNA UWEZO WA KUAMUA NANI AWE KIONGOZI.FUTA HIZO SIASA HUKO KWENYE KICHWA CHAKO.
Wewe huelewi unachoongea kwwliMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Pia soma:Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...www.jamiiforums.com
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Keyboard warrior anayejifanya tajiri 🚮Hatutaki watu wanaozaa kama panya.
Nyie msio na pesa mngetungiwa SHERIA ya KUFUNGWA vizazi maana mnatujazia wamachinga,mashoga,malaya,madalali,mawinga. Hawa wote ni matokeo ya UZAZI USI NA MPANGO in the name kila mtoto anasahani yake!!!
📌Dunia sio sehemu salama kwa masikini!!!
Ohooo !! 😳Huyu akishavuta bangi zake anakuwa na ulimwengu wake mwenyewe