RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Shida wao kwenye majukwaa wanasema ni bure kabisa.
 
Siku zote ukweli huwa unajitenga na uongo, hata kama itachukua miaka 100.

Chalamila mtamnanga sana, lakini kaongea ukweli na uhalisia wa maisha ulivyo huko mahospitalini..
 
Nadhani hajawadhalilisha wanyarukolo. Nadhani wakulaumiwa ni Chuga.. RC alikuwa ameletewa vivutio vya Arusha akavitumia vizuri akavuta. Ndio maana akatoka na ngoma hiyo daadaadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…