To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Huyu ni wa hivihiviAisee , Sasa si kuna namna ya kuzungumza..
Where is diplomacy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni wa hivihiviAisee , Sasa si kuna namna ya kuzungumza..
Where is diplomacy?
Sasa kwani haelewi huu ni mwaka wa uchaguzi?Huyu ni wa hivihivi
Shida wao kwenye majukwaa wanasema ni bure kabisa.Mpaka kufikia kumpigia Mh, lengo lilikuwa ni kuchongea uongozi kwa Mamlaka.
Kama ingekuwa ni kupata ufafanuzi mbona hapo hapo hospitalini kuna kuwa na madawati ya malalamiko na maelekezo.
Ni muhimu watu wetu waelewe uhalisia juu ya huduma na namna ya kuchangia na sio porojo za bure.
Same mgonjwa akienda MNH akiambiwa alipie wala hapigi simu kwa mkuu wa Mkoa, why Temeke?!
CCM HOYEESijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma
Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi
Niishie hapo 🐼
Mkuu,Oppress
Kalewa huyo ulanzi wa mitaa ya Mshindo hapo mnjini. Huwa wale wanawake wanachanganya na gongoSijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma
Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi
Niishie hapo 🐼
Kuna kitu kinaitwa busara unakijua?Siku zote ukweli huwa unajitenga na uongo, hata kama itachukua miaka 100.
Chalamila mtamnanga sana, lakini kaongea ukweli na uhalisia wa maisha ulivyo huko mahospitalini..
Ukweli hauna haja ya kurembwarembwaKuna kitu kinaitwa busara unakijua?
Samahani,Kuna kitu kinaitwa busara unakijua?
Ndipo tunapokosea unajua kuna watu wanakufa kwa kukosa paracetamol? Unafahamu? Kama umebarikiwa kipato jaribu siku moja moja upite mitaani ujionee hali ya mambo nina uhakika utaliaUk
Ukweli hauna haja ya kurembwarembwa