RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Yeye kama nani jamaniiii si waziri wa afya yupo au?
 
awajibishwe hio kauli mbovu sana sana sanaa anastahili aje achezee viboko sawa na idadi ya posts za JF
 
Ndipo tunapokosea unajua kuna watu wanakufa kwa kukosa paracetamol? Unafahamu? Kama umebarikiwa kipato jaribu siku moja moja upite mitaani ujionee hali ya mambo nina uhakika utalia
Sawa,
Ndio ukijua Hali ni duni ewe 🐑 mume/ mke.
Binti/ demu ama kidume/mchizi punguza ngono.
Unaenda kufanya mapenzi Kama burudani/ starehe na haupo tayari kuwajibika na matokeo
Kikubwa tutumie akili kwenye maamuzi
 
Mchanganyiko wa yafuatayo hayataiacha CCM salama.
1. Uteuzi wa kujichagua Dodoma
2. Kauli ya Chalamira
3. Uteuzi wa Wassira
Hayo matatu lazima yalete kanyabazongo
 
Sijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma

Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi

Niishie hapo 🐼
Sasa kama Makamu Mwenyekiti ni Wasira unategemea nini?
 
Sijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma

Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi

Niishie hapo 🐼
Tatizo anapenda sana kunywa ulanzi uliolala! Unaharibu sana akili, wadudu wake wanaenda moja kwa moja kichwani
 
Tangu kauli hii imetolewa na Mwakilishi wa Rais mkoa wa Dar es salaam hazijakanishwa na Msemaji wa serikali au Waziri wa Afya. Je, Hali hii inathibitisha kwamba Mteuzi wa RC Dar anakubaliana naye?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-01-26-17-41-05-619_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2025-01-26-17-41-05-619_com.twitter.android.jpg
    218.6 KB · Views: 1
Wakina mama wote Tanzania waungane wamkatae Samia kwenye sanduku la kura Oktoba 2025 maana ccm wameshindwa kuboresha huduma za afya.
 
Back
Top Bottom