Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,Ndipo tunapokosea unajua kuna watu wanakufa kwa kukosa paracetamol? Unafahamu? Kama umebarikiwa kipato jaribu siku moja moja upite mitaani ujionee hali ya mambo nina uhakika utalia
Jamaa hua ni mkweli sema hana namna nzuri ya kufikisha ujumbeMkuu,
Take side Mimi nipo team chalamila 😅😅
Sasa kama Makamu Mwenyekiti ni Wasira unategemea nini?Sijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma
Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi
Niishie hapo 🐼
Ni kweli hata SSH hawezi tengua teuzi maana ukweli umeelezwa through tough ways...Jamaa hua ni mkweli sema hana namna nzuri ya kufikisha ujumbe
Hivi kweli mpigane miti, msifiane kuunganisha bao mbili mlee kijusi miezi 9 gafla 50k ikushinde?Ni kweli hata SSH hawezi tengua teuzi maana ukweli umeelezwa through tough ways...
Tatizo anapenda sana kunywa ulanzi uliolala! Unaharibu sana akili, wadudu wake wanaenda moja kwa moja kichwaniSijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma
Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi
Niishie hapo 🐼
Sahihi mkuu.Hivi kweli mpigane miti, msifiane kuunganisha bao mbili mlee kijusi miezi 9 gafla 50k ikushinde?
Pdf lake lintoka leo usiku. Stay tunned.Sijajua Chalamila kama Mkuu wa Mkoa aliwaza nini kutoa kauli hii mbele ya kadamnasi ya Wanataaluma
Amedharaulisha Wanyalukolo sana na misifa yake ya kilevi
Niishie hapo 🐼
Wewe Kama nani?? Kama unajiamini SEMA lisipo toka upigwe LIFE BAN?!Pdf lake lintoka leo usiku. Stay tunned.
NAOMBA MTUNZE HII MSG YANGU.
Kaongea kweli kwani sera ya afya kwa akina mama anayejifungua inasemaje?Kaongea ukweli mchungu