RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Safi sana, hawa wa mama wanakuwaga na viherehere sana kushabikia kile chama Cha kijani, sasa na wao wakija kuomba kura muwajibu "wakaombe kura kwa wake au waume zao"..hii ndio iwe kauli mbiu uchaguzi ujao
 
SI -HASA(NOT-REALLY) =SIASA= UONGO.(hasa SIASA ZA BONGO)
SIASA NI KUONGEA UONGO.
KWA YEYE KUONGEA UKWELI INAWEZA KUMGHARIMU(IT MAY COST HIM).
Wengi waliowahi ongea ukweli kwa uzoefu waliishia kutumbuliwa uzoefu unonyesha hivyo.
na sio siasa tu hata katika utendaji wa umma,kuna taarifa ukizotoa kwa jamii hata kama ni za ukweli na ni kwa faida maslahi ya ya USTAWI wa jamii unaweza ukaingia matatizoni.

Mfano sekta ya afya ,ukitoa kwa jamii taarifa juu ya mlipuko wa ugonjwa mlipuko wa ugonjwa wa kuambukiza mfano korona,ebola,mabagi,hata kipindupindu..zika vairas,denge n.k unaeweza ukatumbuliwa.
SIASA INAINGILIA HATA MAMBO YA KITAALUMA NA UTANDAJI WA WATAALAMU.
Na maadili ya kazi ya watumishi yanaamuliwa na wanasisa,SIASA ndio zinaongoza utendaji wa wataalamu wote,
Mifano ni yule daktari aliyepinga matibabu ya KUJIFUKIZA kama sehemu ya matibabu au kinga tiba dhidi ya korona ,alisema mule bungeni jamii isijifukize kwani kijifukiza kuna madhara ule mvuke unaweza kuunguza kingo za njia ya hewa n.k
LAKINI SIASA kwa awamu ile ilikuwa inataka WATU WAJIFUKIZE ,watu watumie bupiji malimao na pili pili na tangawizi NA WASIVAE BARAKOA na wasichomwe chanjo za kovid... na tuliona vituko vingi vya watu WAKIPIGA NYUNGU NA KUJIFUKIZA ..
SIASA SIASA ...ukisema ukweli kuna au ukitumia akili yako utaalamu elimu yako kwenye utendaji wako,kwa SIASA za bongo unaweza ukaishia KUTUMBULIWA au kupata madhara makubwa.
NDIO MAANA wanasisa wa bongo hata AKIWA PROFESA anaendenda/anatenda kama mtu aliyekatwa KICHWA .

Ila kuna baadhi ya wasomi ambao walisimamia ukweli kama the late DR NDUGULILE kwenye habari ya ugonjwa wa korona na yule CAG prof ASSAD..
WANASTAHILI PONGEZI.

Kwa BONGO
uwe mwanasiasa,mtumishi wa umma,mfanyabiashara,viongozi wa kiroho/ wa dini,wasanii,waandishi wa habari N.K WOTE WANAIMBA MAMA pambio la MAMA MAMA hata mvua ikinyesha unaimba ASANTE MAMA,nampomgeza mama,namshukuru mama,mama mama..NAfikiri alipitiwa /au alisahau kuimba wimbo pambio wimboMAARUFU wa kusema mama anaupiga mwingi
 
Hii ni mental case
Hii kitu mimi nimejiuliza sana, huyu mtu kwa maneno na matendo yake yanaonyesha dhahiri shahiri kuwa ana matatizo ya akili, wasiwasi wangu mamlaka iliyomteua haioni haya mambo?

Na kama inaona halafu inapotezea na kama this is mental case nani ambaye ana matatizo ya akili, ni huyu chizi Chalamila au aliyemteua?
 
I think katumwa na Mkuu wa Nchi ayaseme haya sababu mambo aliyo zungumza ni mazito mno. Elfu hamsini ni hela kubwa kwa watanzania wa kawaida hasa vijijini, kuna huduma kiongozi unapotolea maelekezo lazima kutuliza kichwa. Kama hospital inakosa vifaa vya bei rahisi tu, je hali ikoje katika masuala nyeti tusiyo yaona?
Mimba unakaa nayo miezi 9 ndiyo ushindwe kuandaa elfu 50? Basi acheni kuzaa mnasumbua watu
 
Hii kitu mimi nimejiuliza sana, huyu mtu kwa maneno na matendo yake yanaonyesha dhahiri shahiri kuwa ana matatizo ya akili, wasiwasi wangu mamlaka iliyomteua haioni haya mambo?

Na kama inaona halafu inapotezea na kama this is mental case nani ambaye ana matatizo ya akili, ni huyu chizi Chalamila au aliyemteua?
Mbona sioni kosa wala shida yoyote hapo kwa Chalamila?
 
Huo ni ukweli japo ni mchungu, ila nd'o kinachofanyika! tatizo ni kwamba tunapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli!
Chalamila asiwe mbaya kwa kuongea ukweli, hizo hasira zielekezeni kwenye mfumo.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Pia soma:
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

Kwanini wakati wa clinic, (ule muda wa uangalizi wa mama mjamzito zahanati), hakuuliza gharama za kujifungua huyo, mama ni mzembe pamoja na mume
 
Akili za bangi hizo, sera ya afya kwa akina mama wajawazito kuhusu malipo inasemaje ?
Sera za kipumbavu hizo. Hakuna cha bure. Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito.

Ujauzito mnapeana huko kwa raha zenu halafu uje usumbue watu huku kwa bure
 
Sera za kipumbavu hizo. Hakuna cha bure. Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito.

Ujauzito mnapeana huko kwa raha zenu halafu uje usumbue watu huku kwa bure
Don't argues with a fool he'll pull you down to his level and beat you with experience.

Hatuzungumzii lugha za wapumbavu tunajadili sera na behaviour za wenye madaraka hayo maneno ya bangi peleka kijiweni
 
Don't argues with a fool he'll pull you down to his level and beat you with experience.

Hatuzungumzii lugha za wapumbavu tunajadili sera na behaviour za wenye madaraka hayo maneno ya bangi peleka kijiweni
Ukiandika hivyo kiingereza ndiyo unajiona umeandika kumbe kamasi tu huko kichwani

Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito acha makasiriko kisa elfu 50
 
Siku unapewa ujauzito ulinunuliwa chipsi kwa hela ya bwana ako leo wakati wa kujifungua unataka kujifungua bure
Wanailaumu serikali baada ya kupata ujauzito, lakini wakati wanapeana ze utamu hawakuiambia serikali
 
Wanailaumu serikali lakini wakati wanapeana ze utamu hawakuiambia serikali
Ndiyo hapo shangaa mwenyewe

Watu lazima wafundishwe kuwa accountable and responsible for their actions siyo kutegemea serikali hata kwa mambo yanayokuhusu mwenyewe moja kwa moja

Miezi 9 yote umeshindwa kutunza hata elfu 50 tu?
 
Back
Top Bottom