wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 389
- 607
Shida yenu hampend kuambiwa ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu mimi nimejiuliza sana, huyu mtu kwa maneno na matendo yake yanaonyesha dhahiri shahiri kuwa ana matatizo ya akili, wasiwasi wangu mamlaka iliyomteua haioni haya mambo?Hii ni mental case
Mimba unakaa nayo miezi 9 ndiyo ushindwe kuandaa elfu 50? Basi acheni kuzaa mnasumbua watuI think katumwa na Mkuu wa Nchi ayaseme haya sababu mambo aliyo zungumza ni mazito mno. Elfu hamsini ni hela kubwa kwa watanzania wa kawaida hasa vijijini, kuna huduma kiongozi unapotolea maelekezo lazima kutuliza kichwa. Kama hospital inakosa vifaa vya bei rahisi tu, je hali ikoje katika masuala nyeti tusiyo yaona?
Mbona sioni kosa wala shida yoyote hapo kwa Chalamila?Hii kitu mimi nimejiuliza sana, huyu mtu kwa maneno na matendo yake yanaonyesha dhahiri shahiri kuwa ana matatizo ya akili, wasiwasi wangu mamlaka iliyomteua haioni haya mambo?
Na kama inaona halafu inapotezea na kama this is mental case nani ambaye ana matatizo ya akili, ni huyu chizi Chalamila au aliyemteua?
Kwa sababu una akili kama yeyeMbona sioni kosa wala shida yoyote hapo kwa Chalamila?
Wanapenda vya bureUkweli MCHUNGU!
Mnataka muambiwe maneno ya kuwafariji?
Kwani mimba alikupa yeye?Kwa sababu una akili kama yeye
Akili za bangi hizo, sera ya afya kwa akina mama wajawazito kuhusu malipo inasemaje ?Kwani mimba alikupa yeye?
Kwanini wakati wa clinic, (ule muda wa uangalizi wa mama mjamzito zahanati), hakuuliza gharama za kujifungua huyo, mama ni mzembe pamoja na mumeMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Pia soma:Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...www.jamiiforums.com
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Sera za kipumbavu hizo. Hakuna cha bure. Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito.Akili za bangi hizo, sera ya afya kwa akina mama wajawazito kuhusu malipo inasemaje ?
Don't argues with a fool he'll pull you down to his level and beat you with experience.Sera za kipumbavu hizo. Hakuna cha bure. Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito.
Ujauzito mnapeana huko kwa raha zenu halafu uje usumbue watu huku kwa bure
Ukiandika hivyo kiingereza ndiyo unajiona umeandika kumbe kamasi tu huko kichwaniDon't argues with a fool he'll pull you down to his level and beat you with experience.
Hatuzungumzii lugha za wapumbavu tunajadili sera na behaviour za wenye madaraka hayo maneno ya bangi peleka kijiweni
🚮🚮🚮Ukiandika hivyo kiingereza ndiyo unajiona umeandika kumbe kamasi tu huko kichwani
Ongea vizuri na aliyekupa ujauzito acha makasiriko kisa elfu 50
Siku unapewa ujauzito ulinunuliwa chipsi kwa hela ya bwana ako leo wakati wa kujifungua unataka kujifungua bure
Wanailaumu serikali baada ya kupata ujauzito, lakini wakati wanapeana ze utamu hawakuiambia serikaliSiku unapewa ujauzito ulinunuliwa chipsi kwa hela ya bwana ako leo wakati wa kujifungua unataka kujifungua bure
Ndiyo hapo shangaa mwenyeweWanailaumu serikali lakini wakati wanapeana ze utamu hawakuiambia serikali