Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka nayo, itakuwa siyo nchi. Mtu wa tume akikosea atawajibishwa na nani? Hakuna uhuru usio na mipaka, hata hapa Dar baadhi ya wazazi mmewapa watoro uhuru leo wamekuwa mashoga huru. Amesema RC Chalamila