Manispaa Kinondoni wametoa Tangazo. Viwanja vinauzwa tarehe 17 Feb 2025 kupitia mfumo wa Tausi. Bei ni shilingi elfu 15 ( makazi), elfu 17 (makazi na biashara)na elfu 20 (biashara)- Kwa square meter moja.Hongera sana, mnanunua shilingi ngapi sasa hivyo viwanja?