M mancon Member Joined Dec 28, 2010 Posts 98 Reaction score 50 Feb 16, 2025 #21 Nanye Go said: Hongera sana, mnanunua shilingi ngapi sasa hivyo viwanja? Click to expand... Manispaa Kinondoni wametoa Tangazo. Viwanja vinauzwa tarehe 17 Feb 2025 kupitia mfumo wa Tausi. Bei ni shilingi elfu 15 ( makazi), elfu 17 (makazi na biashara)na elfu 20 (biashara)- Kwa square meter moja.
Nanye Go said: Hongera sana, mnanunua shilingi ngapi sasa hivyo viwanja? Click to expand... Manispaa Kinondoni wametoa Tangazo. Viwanja vinauzwa tarehe 17 Feb 2025 kupitia mfumo wa Tausi. Bei ni shilingi elfu 15 ( makazi), elfu 17 (makazi na biashara)na elfu 20 (biashara)- Kwa square meter moja.