RC Chalamila atengua nia yake ya kugombea ubunge Iringa mjini

RC Chalamila atengua nia yake ya kugombea ubunge Iringa mjini

5 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

CCM NYANDA ZA JUU KUSINI : Tumechoka kuongozwa na upinzani

Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
Hata hao wandishi wa habari ,walikosa shughuli za kufanya.
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema anatengua nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini na kwamba ataendelea kuwatumikia wana Mbeya.

Chalamila amesema baada ya kumsikiliza Rais Magufuli jana kwa tahadhari aliyotoa kwa wateule wanaoomba ruhusa, alimwelewa vizuri na ameamua kubadili gia angani.

Source: Azam tv

Maendeleo hayana vyama!
Jamaa ana sisasa za maji taka sana ..katawaliwa na mihemko.
 
Mikwaruzano ya Viongozi ktk Utendaji Case Study mkoa wa Mbeya
Changamoto zilizokuwepo na mambo ni mengi mkoani Mbeya

Wateule wa Rais kama RC Albert Chalamila na Nnkondo Bendera walioaminiwa kama wasomi vijana wa UVCCM wanakumbana na mfumo mkongwe unaoamini kufurahisha viongozi wa juu waliopo Dodoma na Dar es Salaam kuliko kutizama mahitaji na matarajio wa watu waliopo maeneo yao.
Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
January 2020
Rungwe, Tanzania

WAZIRI AKUTANA NA "MADUDU" HAYA RUNGWE AWASWEKA NDANI MFAMASIA NA AFISA MANUNUZI"
Waziri mdogo wa Afya awa mbogo baada ya kukutana madudu ya wataalamu katika hospitali

Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema anatengua nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini na kwamba ataendelea kuwatumikia wana Mbeya.

Chalamila amesema baada ya kumsikiliza Rais Magufuli jana kwa tahadhari aliyotoa kwa wateule wanaoomba ruhusa, alimwelewa vizuri na ameamua kubadili gia angani.

Source: Azam tv

Maendeleo hayana vyama!
Kaogopa kupewa ruhusa ya moja kwa moja.Magufuli anafanya sio powa.
 
7 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

CCM Mpya : Gonjwa lililoanza kupigwa vita mwaka 1890 (Elfu Moja Mia Nane na Tisini) kumalizwa

CCM Mbeya yajigamba kutokomeza gonjwa lilloshindikana, liloanza kupigwa vita na utawala wa mjerumani mwaka 1890 mjini Dar es Salaam katika nchi iliyojulikana kama Ujerumani ya Afrika Mashariki (Tanganyika) sasa kutokomezwa kabisa na utawala wa CCM Mpya Mbeya .

Wananchi sasa wasahau vifo au kulala kitandani kutokana na maradhi ya gonjwa hili hatari.
Source : Global TV online
 
Back
Top Bottom