RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

Mimi kunapolisi alinigombeza kama mtoto,nikakumbuka nina mke na watoto,then nikaona lile tukio litaonyeshwa kwenye tv nikaona haiwezekani kuabika hapa,nika mwambia unaongea ujinga kama unaweza shuka tupigane,nikamwambia shuka acha mbambamba ,nilikuwa nikisema hayo huku najiogopa maana nilibadirika sana,damu ilikuwa inachemka,thanks hakushuka
 
Wangeweza kukuua na ukabambikiziwa kesi ya kutaka kujaribu kufanya shambulio la kigaidi au shambulio kwa askari πŸ˜…

Afrika ni mahala pa hovyo sana!
 
Wacha ujinga wewe wa kujidai u Muislam.

Pambaf.
 
Amelelewa na kukulia ndani ya CCM.

Maadili yake ni reflection ya mapokeo ndani ya chama
 
Chalamila anawafukuza madalali wa kwenye masoko, hataki kuwaona nje wala ndani ya masoko na aliwaamuru walejeshe pesa walizowatapeli wafanyabiashara, vita kubwa hii maana familia zitayumba kwa ndoa kuvunjika.
Mi namuunga mkono, mdalali ni wajinga sana. Mtu unakuja na mzigo wako sokoni umeingia gharama kubwa then mtu mmoja tu tena kakaa tu hata shamba hapajui anakupangia bei ya hovyo
 
Huyu hapendi ujinga na wangezomea wajue rangi yake.
 
Kwanza alikuwa muhuni tu kule Bongo, Msasani... alikuwa Kocha wa mpira chunguzeni historia yake vyema... tuna vijana tele smart vichwani wanahangaika mitaani. Kweli bongo ushindwe wewe tu kulamba asali πŸ˜”
Kuwa Kocha wa mpira ndio uhuni.

Kabla hajaingia kwenye siasa Chalamila alikuwa lecture
 
Kafanya nini baba wa watu...WaTZ Hamna dogo..mbaba wa watu anachapa kazi nyie mnakuja na ngonjera hamtaki achape kazi..upuuzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…