RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

Wewe ndio ulifukuza wale maofisa wa serekali!?
 
Acheni maneno yako, we sema ajirekebishe kauli sio amewekwa pale kwa huruma.

Hio huruma mbona haiku locate wewe uwekwe hata Simiyu huko
 
Chalamila anawafukuza madalali wa kwenye masoko, hataki kuwaona nje wala ndani ya masoko na aliwaamuru walejeshe pesa walizowatapeli wafanyabiashara, vita kubwa hii maana familia zitayumba kwa ndoa kuvunjika.

Basi watakuwa wame toga kwa kumtia wehu namna hiyo?!
 
Mi namuunga mkono, mdalali ni wajinga sana. Mtu unakuja na mzigo wako sokoni umeingia gharama kubwa then mtu mmoja tu tena kakaa tu hata shamba hapajui anakupangia bei ya hovyo

Halafu ndio wanaopandisha bei za bidhaa.

Hawafai hao.

Watolewe tu kwa Kweli.

Ila ajue lugha ya kuongea nao kama kiongozi.
 
Chalamila anawafukuza madalali wa kwenye masoko, hataki kuwaona nje wala ndani ya masoko na aliwaamuru walejeshe pesa walizowatapeli wafanyabiashara, vita kubwa hii maana familia zitayumba kwa ndoa kuvunjika.
Hawa jamaa wanakula pesa nyingi za bure ,wengine maisha yao ni hotel na guest ukileta mzigo hata kama una mteja wanataka upitie kwao .Yupo ok wafukuzwe tu
 
Pumbavu zake Juzi kati alikuwa sehemu Ile kuanza kuongea mikwaruzo ya pombe kwenye sauti ikasikika ni mlevi na anasifia pombe jitu la hovyo,
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ mikwaruzo ya pombe ikoje kwani
 
Pumbavu zake Juzi kati alikuwa sehemu Ile kuanza kuongea mikwaruzo ya pombe kwenye sauti ikasikika ni mlevi na anasifia pombe jitu la hovyo,
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ mikwaruzo ya pombe ikoje kwani
 
Chalamila amewekwa hapo kwa muda kwa mkakati maalumu ila limeanza kuropoka ujinga
 
Ni wazi kashaanza kujisahau ni swals la mda tu
 
Madhara ya maji ya Dhahabu siku zote ni MaKubwa kuliko Faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…