johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ziarani mkoani DSMamesema hayo akiwa wapi?
kulikuwa na tukio gani.?
Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Swali zuri mno πΌSasa kwa nini waibomoe wakati wangeweza kujenga nyingine eneo jingine?!
Upungufu wa akili kichwani.RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Wenyewe wanasema huwezi kuelewa mpaka uwe na D 2 π€£π€£π€£π€£π€£Wajenge mpya tu, hakuna haja ya kubomoa na kujenga
Ardhi imekwisha hadi wabomoe Muhimbili? Wagonjwa waliopo hapo watahamishiwa wapi wakati ikivunjwa?RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Wataambiwa waahirishe kuugua hadi "sibitali" mpya iwe tayari.Ardhi imekwisha hadi wabomoe Muhimbili? Wagonjwa waliopo hapo watahamishiwa wapi wakati ikivunjwa?
Kuliko kubomoa bora ijengwe mpya Bagamoyo kwenye uwanja mkubwa sehemu yenye hewaRC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Wajenge mpya gharama za kubomoa zitumike kununua uwanja mpyaHawana akili hawa wazee wa bomoa kujenga
Hii mijitu haijui kutunza historia
Ova
Upumbavu mtupu! Naona Aibu MimiRC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak π