RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.
chuki zitakuua,sahivi ndiyo safi, nasikia sekta ya nyumba imeshamiri,jengeni bwana hiyo miradi itamaliziwa baadaye.
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Kwanini wasijenge mpya sehemu tofauti kama Kigamboni?
 
Ninaunga hoja ivunjwe TU yote ijenge Mpya na yakisasa zaidi hospitali yataifa inazidiwa hadi na ya Mtwara au Chato
 
Back
Top Bottom