Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Juzi wametoka kukarabati zaidi ya 100 zilitumika na kila mwaka hutengwa fedha za ukarabati, ni utapeli na wizi wa mali za umma.
Yaani cccm ni janga kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi wametoka kukarabati zaidi ya 100 zilitumika na kila mwaka hutengwa fedha za ukarabati, ni utapeli na wizi wa mali za umma.
chuki zitakuua,sahivi ndiyo safi, nasikia sekta ya nyumba imeshamiri,jengeni bwana hiyo miradi itamaliziwa baadaye.Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.
Kwanini wasijenge mpya sehemu tofauti kama Kigamboni?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak 😀
Pia soma:
Hapo sasaSasa kwa nini waibomoe wakati wangeweza kujenga nyingine eneo jingine?!
Gharama itakuwa nafuu. Watakuwa na blank canvas, uhuru kudesign kila kitu umpya.Hapo sasa
Haya ni majangili haswaYaani cccm ni janga kwa kweli