RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.
matusi ya mpumbavu haya,waharifu mnakazi sana,endeleeni kuharibu tu.
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Hili la hospitali nalo lilikuwemo kwenye "mipango", au limeibuka tu kwa furaha ya mtu mmoja?
 
Mimi nadhani kubomoa yale Majengo kama MOI na JKCI na mengineyo mfano wa hayo ni ubadhirifu na tena niseme ni maangamii kama yale ya Waisrael wanayofanya kule Gaza.Labda Wabomoe yale mabovu kabisa na haya mengine ambayo bado ni mapya waboreshe kwa namna wanvyotaka.Huwezi ukaanza kubomoa nyumba kirahisi tu kisa umepata pesa.
MOI, Na JKCI siyo sehemu ya hospital ya taifa Muhimbili..
mgab
 
Mimi nadhani kubomoa yale Majengo kama MOI na JKCI na mengineyo mfano wa hayo ni ubadhirifu na tena niseme ni maangamii kama yale ya Waisrael wanayofanya kule Gaza.Labda Wabomoe yale mabovu kabisa na haya mengine ambayo bado ni mapya waboreshe kwa namna wanvyotaka.Huwezi ukaanza kubomoa nyumba kirahisi tu kisa umepata pesa.
Ni muhimbili sio MOI wala JKCI
Uhimbili kama Muhimbili kuna taasisi 3
1. Muhimbili National Hospital
2. MOI
3. JKCI
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Hapa pesa zitapigwa haswa, kwanini wasijenge mpya Dodoma?
 
Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.
Kuna Jamaa alikuaga work mate wangu nilikuaga nachukulia poaa sana Kila alisemalo kisa na maana Kila wakati kichwa chake kilikua na chembe za alcohol,sio mlevi ila nimnywaji. Kila akitoa point akili yangu inajibu kausha pombe hiyo imeongea.
 
Back
Top Bottom