RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
 
amesema hayo akiwa wapi?
kulikuwa na tukio gani.?

habari ya kujenga na kuboa hospital ya Muhimbili siyo mpya .. mastermind Prof. Janabi aliwahi ita waandishi, na alisema aliko zitoa hela .

hii ilikuwa kabla mama hajaenda korea..

zaidi soma hapa . uzi wa kitambo hapa hapa Jf

lakini pia kuna wana JF wana mashaka na mradi huu.. wakidhani ni uharibifu..

soma tena hapa.
 
RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Source Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀
Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.
 
RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Source Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀
Upungufu wa akili kichwani.

Badala ya kubomoa yote na kujenga upya, wangejenga nyingine ikiwezekana hata mkoa mwingine.
 
RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Source Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀
Ardhi imekwisha hadi wabomoe Muhimbili? Wagonjwa waliopo hapo watahamishiwa wapi wakati ikivunjwa?
 
RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Source Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀
Kuliko kubomoa bora ijengwe mpya Bagamoyo kwenye uwanja mkubwa sehemu yenye hewa
 
RC Chalamila amesema Hospital ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Source Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀
Upumbavu mtupu! Naona Aibu Mimi
 
Back
Top Bottom