Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
matusi ya mpumbavu haya,waharifu mnakazi sana,endeleeni kuharibu tu.Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.
Huyu ni mwizi na mlaghaiNa huku kuna Yule Waziri wa kujenga Barabara Kwa EPC+f Kwa kuongeza cha juu. Watalipa wadanganyika
Hili la hospitali nalo lilikuwemo kwenye "mipango", au limeibuka tu kwa furaha ya mtu mmoja?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak 😀
Pia soma:
MOI, Na JKCI siyo sehemu ya hospital ya taifa Muhimbili..Mimi nadhani kubomoa yale Majengo kama MOI na JKCI na mengineyo mfano wa hayo ni ubadhirifu na tena niseme ni maangamii kama yale ya Waisrael wanayofanya kule Gaza.Labda Wabomoe yale mabovu kabisa na haya mengine ambayo bado ni mapya waboreshe kwa namna wanvyotaka.Huwezi ukaanza kubomoa nyumba kirahisi tu kisa umepata pesa.
Hawatumii akili hata kidogoSasa kwa nini waibomoe wakati wangeweza kujenga nyingine eneo jingine?!
Ni muhimbili sio MOI wala JKCIMimi nadhani kubomoa yale Majengo kama MOI na JKCI na mengineyo mfano wa hayo ni ubadhirifu na tena niseme ni maangamii kama yale ya Waisrael wanayofanya kule Gaza.Labda Wabomoe yale mabovu kabisa na haya mengine ambayo bado ni mapya waboreshe kwa namna wanvyotaka.Huwezi ukaanza kubomoa nyumba kirahisi tu kisa umepata pesa.
Hapa pesa zitapigwa haswa, kwanini wasijenge mpya Dodoma?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak 😀
Pia soma:
Wenye akili hawana kazi serikalini,wenye mtindio wa ubongo ndiyo wanakazi na reasoning kama hii hawana, INASIKITISHA SANASasa kwa nini waibomoe wakati wangeweza kujenga nyingine eneo jingine?!
wataibaje?Upumbavu mtupu! Naona Aibu Mimi
Sahihi kabisa aseeWenye akili hawana kazi serikalini,wenye mtindio wa ubongo ndiyo wanakazi na reasoning kama hii hawana, INASIKITISHA SANA
Kwanini wasijenge mpya Dodoma au Mwanza?Ni muhimbili sio MOI wala JKCI
Uhimbili kama Muhimbili kuna taasisi 3
1. Muhimbili National Hospital
2. MOI
3. JKCI
Yap hata Mbeya/Mwanza/Dodoma au ArushaWangejenga Hospital Mpya Kama hiyo kanda ya Nyasa
Hapo wanalenga kuiba pesa, juzi tu umefanyika ukarabati mkubwa sn leo wanabomoa, jinga kabisaWajenge mpya gharama za kubomoa zitumike kununua uwanja mpya
Wao wanawaza kuiba pekeeHawatumii akili hata kidogo
Ndiyo maana mambo mengi ya serikali hayafanikiwi, kwasababu wengi ya waajiriwa hawajapata kwa uwezo bali connectionSahihi kabisa asee
Muhimbili kama Muhimbili imechakaa sana....wacha ijengwe upyaKwanini wasijenge mpya Dodoma au Mwanza?
Wanatafuta mianya ya ten percent tuWao wanawaza kuiba pekee
Nchi imejaa majangili tupuWanatafuta mianya ya ten percent tu
Kuna Jamaa alikuaga work mate wangu nilikuaga nachukulia poaa sana Kila alisemalo kisa na maana Kila wakati kichwa chake kilikua na chembe za alcohol,sio mlevi ila nimnywaji. Kila akitoa point akili yangu inajibu kausha pombe hiyo imeongea.Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.
Juzi wametoka kukarabati zaidi ya 100 zilitumika na kila mwaka hutengwa fedha za ukarabati, ni utapeli na wizi wa mali za umma.Muhimbili kama Muhimbili imechakaa sana....wacha ijengwe upya