Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu mkimuwahi anapona..
HahaaahaWale wa uduvi njoo mmuone jamaa yenu
N A K A Z I ANa akija raisi mpagani halafu akamteua sijui atasema nini?😁
Hawa ndio wajasiriateuzi bana...kwi kwi
acha tuYote hayo ni kwa sababu ya kumfurahisha mtoa ulaji tu!
anamtania mwislam mmoja tu hapo.Waislamu huyu jamaa anawatania
Ndio huyu sasaSheikh ubwabwa
Kupatwa kwa dini, anajipendekeza sana kwa kizimkaziMkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'
View attachment 3288860