RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

Anatania vipi? Mimi nadhani anatuma ujumbe wa wakiristo kwamba waangalie walipo, wapo sawa?
...wala hatumi ujumbe kwa WAKRISTO...kamwe hawezi.....mizimu yetu ya JMT isingekubali awe RC.....

Anajisahau TU na kuongeza chumvi hovyohovyo....
 
....mganga wake amekwambia hivyo?!!

Anazungukaje nje ya kwao ilihali ule MKOBA wa marehemu mzee Mohamed bado upo hapo kwao?!!!

Isije ikawa anatakiwa kuwa MGANGA na hataki ndio maana MIZIMU imeamua......
Labda kuna MwanaCCM kamuendea Fizi huko kwa Wamanyema kwenda kuchukua mzizi mzito.
 
Yeye ashaanza kuona nuru, bado kuifata tu
Hizo ni siasa mkuu alieelewa uislam hakawii hata sekunde, pili leo no sikukuuya waislam kwa kiongoz aliealikwa kusema maneno hayo ni kawaida je ulimsikia sehemu nyingine akiusifu uislam?
 
Bashe mwenyewe kalogwa huko CCM na sasa anazunguka kwa Waganga.
Wakati anamchokoza Mpina hakujua kuwa Luhaga ni mtoto wa Gamboshi ? acha ipate anakwenda kuwa Bwana shamba wa Gamboshi kusimamia mashamba ya walimaji misukule..
 
Hakika Dini inayokubalika mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
(Surat Aal Imran 3:19)

Pia kuna aya nyingine inayosema:

"Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
(Surat Aal Imran 3:85)
 
Wakati anamchokoza Mpina hakujua kuwa Luhaga ni mtoto wa Gamboshi ? acha ipate anakwenda kuwa Bwana shamba wa Gamboshi kusimamia mashamba ya walimaji misukule..
Kwahiyo anaenda kuwa Waziri wa Kilimo wa Gambosh?😆😆
 
Hizo ni siasa mkuu alieelewa uislam hakawii hata sekunde, pili leo no sikukuuya waislam kwa kiongoz aliealikwa kusema maneno hayo ni kawaida je ulimsikia sehemu nyingine akiusifu uislam?
Hakika Dini inayokubalika mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
(Surat Aal Imran 3:19)

Pia kuna aya nyingine inayosema:

"Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
(Surat Aal Imran 3:85)
CHARAMILA ASHAANZA KUJUA UKWELI
 
Jitu limebatizwa kanisani limesikia harufu ya pilau eti “Allah akbar” 😹😹😹
Simba mjanja hunusa misosi ya namna hiyo mkuu .

Note .sisi ngozi nyeusj ni wanyama tunaojifanya tuna akili ujue🤔
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'

View attachment 3288860
Nijambo jema ila yatupasa kuangalia katiba yetu nakurekebisha mambo Rais sio Mungu ni binadam kama cc nakumbukixi nzuri ni JPM. Kiongozi kutosema mm sio Mungu nakukataa uchawa nikuweka heshima mbele ya Mungu na wanadam. Nyie mmejipa umungu natia shaka kesho yetu na vizazi vyetu.
 
Jitu limebatizwa kanisani limesikia harufu ya pilau eti “Allah akbar” 😹😹😹
Wewe umesema kweli na ikitokea taharuki ukasema Allahu Akbar Risasi zinaweza kuhusu kwamba ni gaidi Aiseeeeee
 
Labda kuna MwanaCCM kamuendea Fizi huko kwa Wamanyema kwenda kuchukua mzizi mzito.
....mkoba wao una elimu za sehemu mbalimbali...umanyemani pia...

Ni mawili tu ya kufanya:
1)Wauhuishe mkoba kwa kuutambikia vyema,

2)Mtakiwa na MKOBA aikubali kazi yake.
 
Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
(Surat Aal Imran 3:85)
Wewe jali ahera lakini watu wanataka kupiga dili zao hapa hapa uswazi.

Vipi pilau la Iddi limepanda sehemu yake?
 
Hakika Dini inayokubalika mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
(Surat Aal Imran 3:19)

Pia kuna aya nyingine inayosema:

"Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
(Surat Aal Imran 3:85)
CHARAMILA ASHAANZA KUJUA UKWELI
Hicho ndicho nilicho kuuliza?
 
Back
Top Bottom