RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

Anawafariji wakazi wa DSM kutokana na gharama za maisha kuwa juu,sasa hapo wakiwa kwenye Eicher wanamwangalia ktk mitandao wanasahau shida zao
 
Hujui unachoongea anadhihaki uislam
Walikuwepo makafiri wakubwa wakiudhihaki uislam tena kwa kuwatesa waislam lkn uislam umekuwa kwa kasi. Kila ukijifanya unaudhihaki uislam ndio unaupa nguvu, hata mwanao anasilimu
 
Walikuwepo makafiri wakubwa wakiudhihaki uislam tena kwa kuwatesa waislam lkn uislam umekuwa kwa kasi. Kila ukijifanya unaudhihaki uislam ndio unaupa nguvu, hata mwanao anasilimu
Hiyo ni ya baadae ikitokea sisi tunaongelea tunachosikia, acha ngonjera
 
....mganga wake amekwambia hivyo?!!

Anazungukaje nje ya kwao ilihali ule MKOBA wa marehemu mzee Mohamed bado upo hapo kwao?!!!

Isije ikawa anatakiwa kuwa MGANGA na hataki ndio maana MIZIMU imeamua......
Uchawi wa Marehemu Baba yake umedunda anakutana na scud za Gamboshi,maji atayaita m'ma chezea Luhaga..
 
Back
Top Bottom