RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

Kwa hili anazidisha CHUMVI....

USHAURI :

Mh.Chalamila hebu punguza CHUMVI.... mdomo ni wa kuuchunga sana....na huo ndio UONGOZI MWEMA.....

#IDD UL MUBBARAK aamin!
 
Bashe mwenyewe kalogwa huko CCM na sasa anazunguka kwa Waganga.
....mganga wake amekwambia hivyo?!!

Anazungukaje nje ya kwao ilihali ule MKOBA wa marehemu mzee Mohamed bado upo hapo kwao?!!!

Isije ikawa anatakiwa kuwa MGANGA na hataki ndio maana MIZIMU imeamua......
 
Back
Top Bottom