RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

Watu wanavyo abudu pesa na wanasiasa wenye madaraka.

Hapo wanaona kachekesha😂😂😂😂

Tajiri au mwanasiasa mwenye madaraka lazima apewe maiki ateme pumba zake.

Hizi dini na waumini njaaaaa ni shida
 
Mambo yote Tume ni HURU ya UCHAGUZI ili tuweke Rais Wabunge na Madiwani tunaowataka.
 
Eleza kwa mtazamo ameukashifu vipi?.pengine mimi sikufahamu..aanzia hapa tuanze mjadala upya
Kama wewe umeona ni sawa kuchezwa shere Uislamu, basi sawa Mimi nimemalizana na wewe. Ila jina lako fanya Liwe Ziro Malaria.
 
Uko mbali sana ndugu soma uelewe uislam wako Sina Cha zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'
HATA MUISLAM HII NI KINGA KUBWA KWA MTU YOYOTE AKITAKA KUKUFANYIA UROGO
 
Huyu jamaa kwa jicho langu pevu la kilevi ,sichelei Kusema ana akili kubwa mno, japo yupo ccm.
Mwanzoni nlimuonaga kama hazimo hivi ila nimegundua huyu jamaa ni mtu moja smart sana bas tu kuna muda anajichomoa betri
 
Yote hayo ni kwa sababu ya kumfurahisha mtoa ulaji tu!
Kabisa. Wabongo kwa kujua kwenda na upepo utawaweza? Hivi huoni tangu ''maza'' ashike usukani, wavaa ushungi na na miwani wameongezeka? Na wafuturushaji wakati wa mfungo nao wamekuwa wengi? Basi jamaa huyu ukimwambia hata aukane ukristo sasa hivi atafanya hivyo.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'
HATA MUISLAM HII NI KINGA KUBWA KWA MTU YOYOTE AKITAKA KUKUFANYIA UROGO
Haya nimekuelewa ila soma Dini Yako uielewe
 
Back
Top Bottom