RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

Mwenye clip yake ya kule mbeya ya kuhamasisha watu wanywe bia atuwekee,au naye amefuata njia ya piere liquid?
 
Uchawi wa Marehemu Baba yake umedunda anakutana na scud za Gamboshi,maji atayaita m'ma chezea Luhaga..
Unataka kusema kuwa MKOBA haukuwa na ziada ya elimu ya GAMBOSHI na wao ni majirani?!!
 
Maisha ndio yalivyo, ukitaka kuamini mtazame ndugai alivyojishangaa na kuwashangaa waliopinga ujenz wa bandar bagamoyo
 
Nyumbu msichukulie serious sana Hadi kufikia kuchukia na kizisha, hii ni sherehe na kawaida katika sherehe watu kufurahi. Hapo alikuwa anafurahikidogo pamoja na waumini.
 
Balozi Pole Pole alikuwa na kauli mbiu ya "Wahuni "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…