RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.

Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.

IMG_20241108_201122.jpg
 
Hapo ndipo natia shaka na kuendelea kuamini kuwa elimu ya bongo ni upuuzi tu
 
Inashangaza sana
Kweli inashangaza.
Mkuu wa Mkoa wa DSM nikiongozi anayetakiwa kuwa makini saba maana ndiye mkuu wa mkoa no 1 Tanzania.
Chalamila akiwa mkuu wa mkoa mwenye matamshi tatanishi maana yake DSM hapamtoshi
Mfano, mkuu wa moa Lindi hatumjui kwa matamshi yake.

Chalamila anashindwa nini kuelezea utekelezaji wa sera za mama Samia , zile 4R na utekelezaji wake jijini DSM.
RC Chalamila akiendelea na matamshi tatanishi basi heri ahamishiwe Babati.
 
Chala huyu huyu ndiye aliyetoa kauli kuwa,

Ni muhimu tukapata Katiba mpya haraka Ili makamu asijekitamani KITI na kumroga wa juu yake Ili aukwae kirahisi bila purukushani za majukwaani.

Usikurupuke kutaka kumuelewa kirahisi Chala.
 
Wakikosolewa wanasema wanachanganya dini na siasa lakini wao wanakuja kuombewa ili washinde kisiasa.
 
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.

Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.

mojawapo ya watu ambao nilishawadharau na hata wakiongea jambo la maana huwa silitilii maanani. leo hii yeye anayeshinda kwa mwamposa na kwenye viongozi wa dini, na huko anapiga kampeni, akageukia na kwa waislam pia, leo hii ana nini cha kushauri kuhusiana na kuchanganya dini na siasa? aache wenye akili waongee, hana moral authority kujadili jambo hili kabisa.
 
Huyu mpumbavu baada ya kumcharaza mwanafunzi wa shule ya sekondari ya kiwanja huko mbeya aliamini kuwa atamweza kila mtu.
Mwambieni akutane na Mimi nimwoneshe kazi.

Tapeli mkubwa.
 
Back
Top Bottom