Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Labda anataka kusilimuHuyu nae
Mara nizikwe kiislamu
Okay,wazo jemaLabda anataka kusilimu
Hahahaha apingwe mtandaoni? Tukisema siku zote kuwa wakenya wapo sahihi kusema kuwa watanzania ni maiti munabishaApingwe kabisa kwa nguvu zote hadi na kina FaizaFoxy
Hapo ndipo natia shaka na kuendelea kuamini kuwa elimu ya bongo ni upuuzi tuNimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Kweli inashangaza.Inashangaza sana
mojawapo ya watu ambao nilishawadharau na hata wakiongea jambo la maana huwa silitilii maanani. leo hii yeye anayeshinda kwa mwamposa na kwenye viongozi wa dini, na huko anapiga kampeni, akageukia na kwa waislam pia, leo hii ana nini cha kushauri kuhusiana na kuchanganya dini na siasa? aache wenye akili waongee, hana moral authority kujadili jambo hili kabisa.Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Huyu mvuta bangi ni mpumbavu sanaNimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Hatuna uhakika na hilo, lakini mheshimiwa yuko irrational.Huyu mvuta bangi ni mpumbavu sana