RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

Ametaka kusolve ndio wanamletea ujuaji. Kaamua kuwaanika
 
Hapo ndo mnapofweiliii in haya's voice
 
Bukoba ni wajuaji na wabinafsi wakutupwa,kaja DC Machalli kusimamia sheria sahivi wanamchukia balaaa wanaftinisha na chama afukuzwe kazi
 
Hapo ndo mnapofweiliii in haya's voice
Wahaya bhana! Wakumbuke kuwa bila kuruhusu mwingiliano wa watu mbalimbali hawawezi kuwa na maendeleo! Ujuaji uko damuni hawa watu! Ni kama waha mji wa kigoma utafikiri ni mtaa wa buza!
 
Serikali imeharobu soko la kahawa halafu mnawakejeli wahaya, pumbavu zenu
 
Serikali imeharobu soko la kahawa halafu mnawakejeli wahaya, pumbavu zenu
Cheki sasa ulivo kiazii hauutaki ukweli wewe mhaya! Vipi majirani zenu Wasukuma zao la pamba si lishaharibika pia mbona wao wanapambana na mikoa yao imechangamka kila sekta japo umasikini upo!
 
NBS wanatuambia Bukoba kuna umaskini uliokithiri

Mkuu wa Mkoa anatuambia Bukoba hakuna maendeleo sababu ya ujuaji mwingi..

Wahaya wa JF wanatuambia Bukoba ni HEAVEN 😂😂😂
 
Huyu ni mpumbavu sana na ngoja fombo inakuja
 
Naunga mkono hoja wabaya wanapenda sana kesi na wengi ni matapeli.ukitaka kutapeliwa fanya biashara na mbaya utakuwa tu.whaya bla bla nyingi sana.
 
Kawaeleza ukweli haiwezekani biashara mnafungua saa nne ni uzembe uliopitiliza na kujifanya mnajua kumbe hamna kitu
Hiyo tabia ya kufungua biashara saa tatu pia nilikutana nayo kwa ndugu zetu wa Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…